Recent content by Remmy msakusy

  1. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua taratibu za kuvunja ndoa ya kikristo

    Huwezi kujiandaa kuacha kabla hujaoa ni sawa na kupata hasara kabla ya kuanza biashara. Jitahidi kujifunza maana ya ndoa kabla kuoa.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nahisi kufa kufa; unapata wapi nguvu ya kumwacha umpendae?

    Wewe ulipanga hivyo MUNGU hajakupangia bado. Funga na kusali kama upo karibu na Mungu wako. Kumbuka wewe ulichompendea ndicho yeye alichokichukia kwako. Shukuru mmeachana wazima je angekutoa jicho? Hayo yapo duniani utasahau tu.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge mstaafu, Abdul Mteketa alia mtandaoni akiomba msaada wa matibabu kutoka kwa Rais Magufuli

    Usichokijua sawa na usiku wa giza baada kusoma mawazo ya bw. Mberoya kama kweli uwezo anao na analidhalilisha Taifa letu afuatiwe na vyombo husika achukuliwe hatua stahiki. Lakini kwa wale walioliletea taiga sifa na wanateseka watambuliwe na serikali yetu.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge mstaafu, Abdul Mteketa alia mtandaoni akiomba msaada wa matibabu kutoka kwa Rais Magufuli

    Fuatilia mfumo wa maisha wakati ulikuwaje au Sera za nchi kwa wakati ilikuwaje badala yakulaumu wanavyolalamika ambao walikuwa maarufu wakati huo. Zamani mtumishi wa serikali alikuwa anapewa /anatafuata miiko iliyowekwa mpaka anajisahau kama baadae atakuwa nje ya mfumo wa utumishi au serikari...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tabata imevamiwa na wadangaji

    Usikimbilie majaribu yakimbie!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Serikali: Kama ilivyo Mwenge, Hatuhitaji kampeni ya Uzalendo na Utaifa

    Kula na kipofu kuna taratibu zake za kutomgusa.Watanzania wajanja sana kula na kipofu kwa kugusa mikono ya kipofu bila yeye kugundua kuwa AMEGUSWA.
Back
Top Bottom