Recent content by Remishoy

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mwigamba: Sitoki wala siombi radhi. Atoa ufafanuzi kuhusu Waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013

    hivi ujajitambua kweli?:A S-confused1::A S-confused1:
  2. R

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: CHADEMA haihusiki na 'Taarifa ya Siri'

    CHADEMA ni mpango wa MUNGU ..hatuyumbishwi na maccm... forward ever backward never
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kenya yampongeza JK kwa hotuba yake bungeni

    wakati mwingine tunahitajika kuwa wamoja katika maswala ya kitaifa...EAC bila TZ haiwezekani
  4. R

    JamiiForums Tanzania Akili Ndogo Kushindana na Akili Kubwa: Ona CV ya Mbunge Lema na CV ya Zitto!!

    hizo zote mbwembwe..mi lk this (red highlighted)
  5. R

    JamiiForums Tanzania Akili Ndogo Kushindana na Akili Kubwa: Ona CV ya Mbunge Lema na CV ya Zitto!!

    Kweli we Tomaso...au MB za bure kwenye PC zinakuzingu...haya umepost ni ni sasa? pimbiiiiiii
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nimekuja kumjibu Zitto niendelee na majukumu mengine

    Mess penda sana hii takshishi..hajielewi ZZK
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nyanyoro Kicheere: CHADEMA kiwakemee hawa.

    umebaka mada....mi napita tu.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nyanyoro Kicheere: CHADEMA kiwakemee hawa.

    "spoon feeding" loading ..................2015
  9. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kanda ya kaskazini kufanya press conference: Ni kuhusu mwanamke aliyepigwa risasi na polisi

    jamani huyu Magesa bado yupo tu ARUSHA? hivyo ndivo vyeo vya kupeana. Rais ameona anafaa ...mimi napita tu
  10. R

    JamiiForums Tanzania Shibuda atimuliwa kikaoni CHADEMA; Apigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye!

    CHADEMA siyo chama cha watu wachache NI chama cha wananchi na ni taasisi inayojitegemea.. mtu yeyote anweza kuondolewa bila kujali ushawishii wake kwa wananchi pindi inaposibitika amekiuka katiba ya CHAMA..wanaCHADEMA wote ni majembe hata kama ni MBOWE au SLAA anaweza kwenda na kutuaacha na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba: CHADEMA kuna ubaguzi

    kweli mfa maji haachi kutapatapa....lawama klabuni sisi mpera mpera tu.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya mbunge Lema na Amani Golugwa yaingiliwa

    hatuta kubali wajinga wachache watusumbue...mti unaolengwa mawe matunda yake matamu....wana wa ARUSHA na kata zote zilizopo hatuji lolote wala hatiskii unafiki wenu...LEMA ndiyo tumaini letu na CHADEMA ndiye mama yetu.
  13. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmekuwaje tena???

    Wewe huna akili na hakuna kamanda dhaifu hivyo...nani kwa kuambia tunakubali kuchonganishwa?
  14. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmekuwaje tena???

    hoja yako na ushauri wako ni wa msing kabisa na unaonyesha ulivyo mzalendo .Ijapokuwa unaonekana bado upo magamba na ukombozi hujakufikia sioni sababu ya kupokea pumba zako kwani wew hututakii mema..wale wale wakina lUMUMBA
  15. R

    JamiiForums Tanzania MAZURI ya Kikwete ambayo hayajawahi kufanywa na marais waliomtangulia HAYA HAPA

    Haki za raia na usalama wao vip? tutawawezesha vijana kupata ajira vip hapo?Maisha bora kwa kila mtz vip? mauaji ya tembo na usafirishaji wa twiga ( rasilimali zetu)? katika maraisi kibisa na legelege waliotokea TZ M.Kikwete anaongoza...namchukia kuliko njaa.
Back
Top Bottom