Recent content by Registering

  1. R

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Shukran. Mafundi wamefika na wamerudisha umeme.
  2. R

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mkoa Tanga, Wilaya Tanga, kata mabawa B, mtaa Mikanjuni B, eneo maarufu makuburini mwisho, Jana nimeripoti Tatizo kuwa nyumbani kwangu umeme haupo( haufiki kwenye Mita) kutokana na loose connection kwenye nguzo ya Tanesco. Aidha, nimepewa reference number 5217413, hata hivyo mpaka sasa...
  3. R

    Series (Special thread)

    Wadau, Tv series gani mnatumia kudowload series katika Computer? Nilikuwa natumia netnaija..now haifanyi kazi.
  4. R

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba kutoa mrejesho. Wataalam wamefika leo hii na kuiweka nguzo sehemu salama tofauti na ilipokuwa awali. Asanteni kwa kutatua kero kwa wakati.
  5. R

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Jina: Shabani Kawina Eneo: kata msongola, mtaa wa mvuleni Namba ya simu: 0763531628/0783349834 Kero: Tanesco Emergency Kisarawe kutofika kurekebisha nguzo iliyochimbika chini kutokana na athari za mvua. Aidha, tangu mvua za mwezi oktoba, 2020 mpaka Desemba, 2020 kuna nguzo imechimbika na Hali...
  6. R

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Typing error Jamii Forum not Jambo Forum
  7. R

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mrejesho: Nawashukuru sana Tanesco nimepata huduma ya kufungiwa nyaya na Mita mnamo tarehe 02.08.2019. Nawapongeza kwa kufanyia kazi kero za wananchi kupitia Jambo Forum. Thanks
  8. R

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Jina: Shabani Mtonga Eneo: Mtaa wa Mvuleni, kata ya Kitonga, Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam Tatizo: Nililipia UMEME tarehe 18.03.2019, wiki mbili zilizopita nimeletewa nguzo 2 na kuahidiwa mnamo tarehe 27.07.2019 ningeletewa mita na kufungiwa nyaya za UMEME lakini mpaka Sasa bado huduma...
  9. R

    Kwa matatizo ya gari

    Kiongozi...Nina Toyota Voltz WD with automatic transmission, ilikuwa na leakage kwenye mfuniko wa Engine Kwa juu. Fundi ameziba leakage. Baada ya kuziba leakage ameenda kusafisha Kwa kutumia pressure water...From that gari ukiwasha inawasha taa ya check engine...Pia muda mwingine inazima kabisa...
  10. R

    Kwa matatizo ya gari

    Nashukuru Sana Mtaalam kwa majibu mazuri
  11. R

    Kwa matatizo ya gari

    Za Kazi KIONGOZI, naomba kujifunza, nina Toyota Voltz yenye 4WD with automatic transmission. Ni muda Gani/ gear ipi 4WD inatumika au all the time? Thanks.
Back
Top Bottom