Hakuna kitu kama hiki
ccm wameanza kujihami
waongee kwenye vyombo vya habari ndo tuwaamini
hapa Lowassa ndo mpango mzima
Hela zetu mzifishe Swiss mnaomba kura
Twiga wetu wameisha Loliondo wamepakiwa kwenye mandege ya waarabu
Huo ni uonevu
Ila 25 October patachimbika
Mafisadi nyie mmetufanya maskini wa kutupwa
Mmeifanya nchi hii kuwa ya watu wachache wenye nacho
Sasa basi enough is enough we need change
Hata wazungu wanatuelewa tulivyo hatujielewi
Kuongea muda mrefu ndo nini?
Kuna maanisha ndo mtu ana uwezo
Ndo maana hata darasani watu wanaojieleza sana hawajiamini kabisa
Inabidi aleze mambo mengi angalau ambulie mark moja au mbili
Wazungu walisema na bado wanaendelea kusema hatujielewi
Embu...
haahha kweli watz kwa uongo hatujambo
weka facts ivi kweli ingekuwa hivyo nchi zima ingerindima
Vyomba vya habari vingeshika kasi ya ajabu
Picha zingerushwa mitandao yote ya kijamii
Mafisadi maccm tokeniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
tupisheniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Leo tunashindwa kufanya maendeleo ya hii nchi kwa sababu ya maccm
Mafisadi walarushwa nendeni kuzimu after 25 October
Toka hapa
Umetumwa mafisadi maccm imetuacha tumekuwa wanyonge kwenye nchi yetu
Nchi yenye asali na maziwa mmeiuza kwa waarabu wanyama wetu mmewapa wachina
Wachina wamekuwa wenyeji kwenye nchi yetu kisa madhambi yenu mmeyafanya wenyewe huko china
Watanzania ndo wanaolipia adhabu tusikubali...
Hizo laptop na hela ni za wananchi
yeye atazipata wapi?
Mccm mafisadi bwana
Kwa hiyo anakuja na strategy ya Kenya
Copy and paste from Kenya watz bwana kazi tunayo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.