Benz Petrol
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 504
- 196
Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo ya umaskini na ujinga (elimisha uuma) n.k. kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala.
WaTanzania mwaka huu tusikubali kuendelea kudanganywa na CCM angalia mfano mzuri hapa chini:

WaTanzania mwaka huu tusikubali kuendelea kudanganywa na CCM angalia mfano mzuri hapa chini:
