Recent content by Rege

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba hahusiki kuratibu maandamano ya wakatoliki

    Wana Jukwaa, Tafadhalini sana naomba mpokee ujumbe kutoka kwa watu wa karibu na Mwigulu Nchemba wamesema Mwigulu hahusiki kwa namna yoyote kuratibu maandamano ya makundi ya kulichafua Kanisa Katoliki. Pamoja na Mwigulu kuonekana na picha ya mmoja wa waratibu wa maandamano hayo ndugu Ludovick...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Bashe adaiwa kusababisha vikao vya CCM kuahirishwa kisa alipanga wagombea ubunge anaotaka yeye

    Yasipodhibitiwa Chama kinakwenda Kaburini wana CCM wanatambua Chama chao kilikotoka hakiwezi kuuliwa na watu wenye uchu wa madaraka
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Bashe adaiwa kusababisha vikao vya CCM kuahirishwa kisa alipanga wagombea ubunge anaotaka yeye

    KADA wa CCM Hussein Bashe anatajwa kuwa ndiye chanzo cha kuvuruga Kikao cha Kamati Kuu kilichopangwa kufanyika leo cha kupitisha majina ya wagombea ubunge wa majimbo na viti maalum baada ya kubainika kuwa sehemu kubwa ya wagombea waliopitishwa na Kamati za Siasa za Wilaya na Mikoa ni Maelekezo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina yuko wapi sijamsikia siku nyingi

    Yuko Wapi Luhaga Mpina ambaye ametambulishwa kama Mbunge wa Taifa, sijamsikia siku nyingi je amechukua fomu au na yeye ameacha kuchukua fomu kama Gwajima na Majaliwa?
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Amos Makalla: Wagombea watulie wakati tunaendelea na mchakato, uteuzi wa mwisho ni tarehe 28 Julai, 2025

    https://youtu.be/MAL7Yc1jIa8?si=2U2Z5iUPRNVJbPoF
  6. R

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina apiga kura kukataa azimio la Bunge la kufuta kigezo cha JKT kuajiriwa kwenye Majeshi ya Ulinzi na Usalama

    JWTZ wameungana na MPINA kwenye hoja hii
  7. R

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha bajeti ya TSh. Trilioni 3.64 Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, ongezeko la asilimia 9.61 ukilinganisha na mwaka 2024/25

    Bunge limepitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa mwaka wa fedha 2025 / 2026 baada ya kuwasilisha bungeni na Waziri wa wizara hiyo, Dk Stergomena Tax, jijini Dodoma leo Mei 20, 2025. Dk Stergomena aliomba kupitishiwa bajeti ya jumla ya Sh3.6...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wasira amuonya Mwenyekiti wa Mkoa wa Simiyu kubeba wagombea ubunge wasiokubalika kwa wananchi

    Mzee Gafalafa ameonya Shemsa Mohamed kuvuruga siasa za Mkoa wa Simiyu, amtetea Mpina Naandika ujumbe huu kwa masikito makubwa juu ya Kauli zako ulizozitoa kwenye mkutano wa ndani wa viongozi wa CCM pale Tarafani Kanadi Wilaya ya Itilima siku ya Tarehe 25.4.2024 kuhusu Luhaga Mpina, Mbunge wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Bashe anaingia bungeni kesho akiwa hana kashfa ya Sukari

    JAJI wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Anorld Kirekiano amemsafisha Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwenye kashfa ya utoaji wa vibali vya sukari baada ya kuitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mpina Mbunge wa Kisesa. Bunge linaanza kesho huku Bashe akiingia bungeni akiwa ni Mr Clean hana kashfa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko amwakilisha Rais Samia Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika 2024, Dodoma

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Agosti 1, 2024 amemwakilisha Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Miaka 70 wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) inayofanyika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa miwa Kilombero wampongeza Bashe sheria mpya ya sukari

    Wakulima wa miwa katika Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wamempongeza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa uamuzi wake wa kubadilisha sheria ya sukari mwaka 2024 kwamba itawaletea manufaa makubwa na wamekanusha taarifa zilizotolewa na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuhusu kilimo cha miwa na...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Shemsa Mohamed wa CCM kabla hujatoa kibanzi kwa Luhaga Mpina anza kutoa boriti jichoni mwako

    Naandika ujumbe huu kwa masikito makubwa juu ya Kauli zako ulizozitoa kwenye mkutano wa ndani wa viongozi wa CCM pale Tarafani Kanadi Wilaya ya Itilima siku ya Tarehe 25.4.2024 kuhusu Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa. Umeutumia mkutano huo wa ndani wa Viongozi wa CCM Itilima badala ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina ulichoma nyavu za wavuvi, huna unalali wa kuwataja mafisadi

    LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi. Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni...
Back
Top Bottom