Recent content by reformer

  1. R

    JamiiForums Tanzania NEC imetoa ratiba ya maeneo ambayo vyama vya siasa vitakapofanyia kampeni zao

    Yuko Morogoro tangu lini?
  2. R

    JamiiForums Tanzania NEC imetoa ratiba ya maeneo ambayo vyama vya siasa vitakapofanyia kampeni zao

    Kuelekea uchaguzi mkuu Octobers 25, 2015..ratiba ya mgombea Uraisi kwa tiketi ya CCM Dr. John Pombe Magufuli imekaaje? Toka tar 2 septemba alipofanya mkutano Mtwara sijamuona tena akifanya mikutano wa nje. Juzi kaonyeshwa ITV akifanya mkutano na jumuia ya wazazi Dar, jana alikuwa na mkutano...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pia alikuwa anaitwa Dr kama marais wenzake Tanzania

    Jibu ni moja tu..ni kwa sababu Nyerere alikuwa Mkristo
  4. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Saada Salum Mkuya ulilidanganya bunge kwa faida ya nani?

    Safi sana mkuu..huyu yanamfaa majibu kama haya
  5. R

    JamiiForums Tanzania Suala la ESCROW, Ikulu yabanwa zaidi

    Serikali si ipo..si itaifishe hizo mali na kumfungulia Mbowe mashtaka ya kuhujumu uchumi?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kamati ya PAC Wachukuliwe Hatua Kali za Kisheria

    Hivi kwa nini huwa mnahangaika kuchangia thread za huyu bibi kizee? Watu kama hawa wanaoleta thread zilizojaa urojo kama hii dawa yao ni kuwapotezea tu.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Chezea Zuma wewe

    Dotworld Usidandie train kwa mbele..rudi kwenye post ya kwanza utaelewa nilichokuwa namaanisha
  8. R

    JamiiForums Tanzania Chezea Zuma wewe

    Hicho kitu kingeweza kutokea kwa Madiba mwenyewe au Nyerere?. Ukijidharau utadharauliwa, ukijiheshim utaheshimiwa.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Chezea Zuma wewe

    Hizo sababu nilizotoa hazijustfy kudharauliwa?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Chezea Zuma wewe

    No wonder anadharauliwa na raia wa south africa. Nakumbuka siku ya msiba wa Madiba alivozomewa na wananchi wake huku Obama akishangiliwa as if ndo rais wao. He is just extravagant and corrupt, knowing nothing about leadership except marrying, dancing, singing and drinking.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Bunge Dr.Thomas Kashililah atolea Ufafanuzi Swala la Mhe.Freeman Mbowe.

    Kashilila atakuwa CDM
  12. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

    Member of Parliament CV GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: William Middle Name: Augustao Last Name: Mgimwa Member Type...
  13. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

    Alikuwa hana PhD
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sista duu Anusurika kubakwa hadharani baada ya Kukatisha na Kimini kinachoonyesha Nyeti zake K/Koo

    Niambie ni mavazi gani unayovaa ww ambayo asili yake ni Tanzania na hujaiga kutoka utamaduni wa mataifa mengine
  15. R

    JamiiForums Tanzania Zitto Awe Mbaya Wana Kigoma Wawe Wazuri!

    Kajilipueni ili haki isimame
Back
Top Bottom