Recent content by Reflex

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe wa CHADEMA ana upekee gani?

    hahahahah!! Ingekuwa hivi unavyosema asingeende kupekuliwa nyumbani kwake. Hata hivyo sidhani kama ni njia sahihi ambazo polisi na Makondo kama zilikuwa sahihi. huwezi kumhisi mtu na dawa za kulevya then unatangaza kwenye vyombo vya habari na baada ya hapo unamuita polisi eti baadaye ndo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    Le Acha poroja leta ushahidi, kama una una ushahidi peleka mahakamani ikiwa bado kuna kesi inaendelea kuliko kuleta porojo hapa. Akiwa CCM anakuwa msafi akihama anakuwa mchafu. Muwe mnashirikisha ubongo kufikiri tafadhali.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

    Utakuwa na matatizo katika ubongo wako. Wahi mapema hospitali kabla matatizo hayajaongezeka.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Gazeti la MwanaHalisi lapewa saa 24 kuomba radhi kwa kumchafua Rais Magufuli

    Inabidi watu tuwe hata tunajisghulisha hata kidogo kabla hata ya kutoa maelekezo. Kwa mujibu wa barua hii aya ya tatu "Kwa kuwa ni jambo lililodhahiri kuwa Shirika la Elimu Kibaha si ofisi, idara wala kitengo "ndani ya ofisi ya JPM" mwandishi na mhariri wa habari husika wamedhahirisha malengo...
Back
Top Bottom