Recent content by Redtaq1

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mke wa pili ni sawa na simba awindae kimya kimya

    Inaonesha Kuna kitu kimekutokea but haujaweza kukisema moja kwa moja umebakia kuzunguka zunguka tu, funguka
  2. R

    JamiiForums Tanzania Dar imechafuka, haipitiki. Ujenzi kila barabara

    Stahamili tunajenga nchii wakandarasi wapo kazini japo hawamalizi, tatizo malipo
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Waendesha bodaboda wamwaga chakula msibani, wadai marehemu alikuwa ananyimwa msosi

    Hela ya kumtibu na kumlisha imekosekana lin ya mbege na chakula imepatikana boda boda wapo sahihi sana tuwajali watu wetu wakati wapo hai sio mpaka wanafariki
Back
Top Bottom