Recent content by Redshadow

  1. R

    Historia ya Pasaka (Easter): Chanzo, Mageuzi na Ukweli Usiosimuliwa Mara Nyingi.

    Sasa zuzu nani... Kama SI wewe unaekurupuka kucomment bila kuelewa kilichoandikwa kwenye post😂.
  2. R

    Historia ya Pasaka (Easter): Chanzo, Mageuzi na Ukweli Usiosimuliwa Mara Nyingi.

    Hakika nitawafunza ninachokijua Kwa kadri ntakavozidi kuwa namaarifa.
  3. R

    Historia ya Pasaka (Easter): Chanzo, Mageuzi na Ukweli Usiosimuliwa Mara Nyingi.

    Soma vizuri nilichoeleza nimeongea Kwa kutumia ushahidi wa biblia na historia. Kihistoria Pasaka ilianza na Wayahudi, kama kumbukumbu ya Mungu kuwakomboa kutoka Misri (Kutoka 12). Lakini ujumbe huo haukubaki kwao tu. Biblia inasema: ‘Wokovu watoka kwa Wayahudi’ (Yohana 4:22), lakini pia...
  4. R

    Historia ya Pasaka (Easter): Chanzo, Mageuzi na Ukweli Usiosimuliwa Mara Nyingi.

    Ni kweli sikukuu hutoa nafasi ya mapumziko na furaha, lakini kuziona kama ‘bata’ tu ni kupuuza mizizi yake ya kihistoria na kiroho. Tamaduni hizi—iwe za Kiyahudi, Kikristo, au Kiislamu—zilijengwa juu ya masimulizi ya mateso, matumaini, na wokovu wa watu. Kwa watu wa imani, haya si matukio ya...
  5. R

    Historia ya Pasaka (Easter): Chanzo, Mageuzi na Ukweli Usiosimuliwa Mara Nyingi.

    Upo sahihi. Kwa kiebrania ni pesach. Ambayo maana ake ni "to pass over" ama "to spare" so tukisema Passover ni English translated version of the Hebrew word pesach.
  6. R

    Historia ya Pasaka (Easter): Chanzo, Mageuzi na Ukweli Usiosimuliwa Mara Nyingi.

    Inaonekana kadri miaka inavyosonga, uso wa Ukristo halisi umefunikwa na tabaka zito la mapokeo, siasa, na taasisi. Watu wengi hawamjui Kristo aliye hai—wanamfahamu kupitia vinywa vya wanadamu, si kwa kusoma maneno yake wenyewe (Yohana 5:39). Wengine waliingia katika Ukristo si kwa uamuzi wa...
  7. R

    Historia ya Pasaka (Easter): Chanzo, Mageuzi na Ukweli Usiosimuliwa Mara Nyingi.

    1. Asili ya Pasaka ya Kiebrania (Passover) Pasaka halisi, inayojulikana kama Pasaka ya Kiebrania (Hebrew Passover), ilianzishwa na Mungu mwenyewe kupitia Musa katika Agano la Kale. Inatajwa kwa mara ya kwanza katika Kitabu cha Kutoka 12, ambapo Mungu aliwaagiza Waisraeli kuchinja mwana-kondoo...
  8. R

    Soko la Soya

    Upo sahihi. Kuna tofauti kati ya soybean na soya beans. Thanks for clarification nilijibu bila kufikiri.
  9. R

    Soko la Soya

  10. R

    Soko la Soya

    [/USER] Okay
  11. R

    Soko la Soya

    0712928390
  12. R

    Soko la Soya

    Ni kitu kilekile
  13. R

    Soko la Soya

    0712928390
  14. R

    Soko la Soya

    0712928390
  15. R

    Soko la Soya

    Maongezi yapo
Back
Top Bottom