Recent content by RedArmy

  1. R

    Mwadhamu Polycarp Pengo: Serikali mbili zinatosha

    Huyo ni mwanachama hai wa ccm sasa anaogopa wasije kumuumbua kwa madhambi yake.wapo viongozi wawili wa kidini nchini ambao wapo chini ya CCM.polycarp pengo na mufti wa bakwata simba ambaye naye anaogopa kuumbuliwa.wanakula raha kwa mgongo wa ccm.
  2. R

    nani makamu wa mh.sitta?

    Nani amechaguliwa kuwa naibu wa rais mtarajiwa na spika wa bunge la katiba mheshimiwa samwel sitta?
  3. R

    Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Wanaomkashifu mh.lowassa sasa wanaonekana waziwazi wametumwa na nani.angalia picha ya mbele gazeti la mtanzania la leo.wadhamini wa sitta kugombea uspika bunge la katiba.Yupo hamisi na PAUL MAKONDA.huyu makonda hivi majuzi tu ndiye aliyemkashifu lowassa na kutoa kejeli nyingi dhidi yake.kumbe...
  4. R

    Kikwete abariki kura ya wazi

    Kumbe ukilia ccm wanakubali unachotaka.
  5. R

    Al Ahly SC vs Young Africans, Mar 09, 2014 – Live Stream

    Azam tv kaka au dada mmelipia, sie tumeona bure.poleni sana.
  6. R

    Hongera abood television kwa kutuonyesha mechi ya yanga

    Sisi wakazi wa morogoro tunawapongeza kwa dhati Abood media kwa kutuonyesha live mechi ya yanga na alahly.tunawashukuru sana kwa kuwa tulibaki majumbani na kuangalia mechi na familia zetu.
  7. R

    Al Ahly SC vs Young Africans, Mar 09, 2014 – Live Stream

    Sisi wakazi wa morogoro tunapenda kuwapongeza kwa dhati kabisa uongozi wa Abood Media kwa kutuonyesha live mechi ya yanga na alahly LIVE kutoka misri.ingawa tumeshindwa lakini tumeiona mechi bure majumbani mwetu tena kwa HD .asanteni sana.
  8. R

    CHADEMA msishiriki uchaguzi jimbo la Chalinze

    Nawaombeni sana viongozi wa juu chadema waamue kukitoa chama chao katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la chalinze.sababu ni kuwa wakimweka mgombea wao sijui ataweza vipi kushindana na mtoto wa rais,kamanda mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama,mteuzi wa viongozi wote wa takukuru,tume ya...
  9. R

    Kauli ya Spika inayompeleka Membe Ikulu na kuzika ndoto ya Lowassa...

    CCM imejimaliza kwa kumchagua sitta.serikali 3 zanukia.jamaa anataka urais ni lazima awaridhishe wapinzani wa ccm ili magazeti yampambe.
  10. R

    Kauli ya Spika inayompeleka Membe Ikulu na kuzika ndoto ya Lowassa...

    Jamani muwe na ubinadamu na utu.hivi bila ya kumtaja na kumsimanga lowasa hamna raha.lakini sababu ipo wazi ni kwa kuwa ameusimamia UKRISTO kwa nguvu zote.
  11. R

    kampeni zaanza chalinze

    Of course mwenyewe.anapita kila kona hapa chalinze.tunaogopa kusema mengi maana nchi yetu ina wenyewe.
  12. R

    kampeni zaanza chalinze

    Bwana aitwae ridhwan j kikwete ambaye pia ni mjumbe wa UVCCM ameshaanza kampeni za chini kwa chini jimbo la chalinze.je kamati ya maadili itakuwa na ubavu wa kumfungia?
  13. R

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    jamii forum its unfair.kama nyie ni members wa chadema sio vibaya ila msijifanye impartial.kuweni open.its not a sin.
  14. R

    Kampeni za Udiwani Tungi Morogoro

    huyu aliyeandika taarifa hii si mchambuzi wala mjuaji wa mambo ya siasa.kata yenyewe ina wakazi wapatao 3000 waliojiandikisha na watakaopiga kura hawatozidi 1800 sasa mangula kupata watu 100 ni sawa kabisa.mkutano wa mbowe ulikusanya wakazi wote wa manispaa.moderators wa jamii forum muangalie...
Back
Top Bottom