Recent content by Rector1983

  1. Rector1983

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Best Turkish series & movies

    OSMAN
  2. Rector1983

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu kwenye interview utumishi kada ya msaidizi wa hesabu II

    Msaada kwa wanaohitaji aptitude interview questions kada ya msaidizi wa Kumbukumbu II, nimeyaambatanisha maswali na mshindwe nyie tu.
  3. Rector1983

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi fanya interview TANROADS weighbridge officer naombeni msaada nijiandae wapi?

    Asante kwa kuniita tapeli, wewe mwenzangu sio tapeli. Mungu akupe roho hiyhyo lakini ujue hata mimi sijaupenda huu utapeli unaoniita leo.
  4. Rector1983

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi fanya interview TANROADS weighbridge officer naombeni msaada nijiandae wapi?

    Nimetafakari andiko lako nikaona nishare haya maswali kama muongozo ktk kuelekea usaili wa TANROAD kwa watakaochaguliwa nafasi ya afisa MIZANI (WEIGHBRIDGE OFFICE -II)- TANROAD.
  5. Rector1983

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi fanya interview TANROADS weighbridge officer naombeni msaada nijiandae wapi?

    Maisha lazima utafute kijana kwani hata muhusika naye amelipa hyo pesa
  6. Rector1983

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi fanya interview TANROADS weighbridge officer naombeni msaada nijiandae wapi?

    Nina muongozo wa maswali husika, tuma mzigo
  7. Rector1983

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi fanya interview TANROADS weighbridge officer naombeni msaada nijiandae wapi?

    Nitafute 0758 484726 na 15K yako
  8. Rector1983

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii atagombea tena 2025?

    Sioni sababu ya mama kutoshnda kwa kishindo 2025 na ikizingatia hata vyama vya upinzani kikiwepo Chadema tayari wamekosa agenda za msingi na kubaki wanalilia kupewa nafasi ya kuzungumza katika misiba.
  9. Rector1983

    JamiiForums Tanzania Alichokisema Rais mstaafu Kikwete kuhusu Sukari na Umeme

    Watanzania tunaojitambua tunafahamu kuwa haya ni mapito na rais wetu atatuvusha kutoka hapa. Kikubwa ni kuendelea kuwaombea viongozi watu wafanyekazi kwa bidii kwa ajili ya watanzania
  10. Rector1983

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 EFM wakejeli maandamano ya CHADEMA

    Lakini binafsi sioni sababu ya CDM kufanya maandamano ikiwa Tanzania yetu ina amani, huduma za kijamii zinaboreshwa licha ya changamoto ndogondogo zinazokwamisha jitihada hizo lakini bado Rais Samia S. Hassan amebaki kuwa kipenzi cha watanzania. Chadema wanawapotosha watanzania kwa ajili ya...
  11. Rector1983

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kumpata Massoro Husseini Kivuga

    Kama mpaka una namba za simu yake unashindwaje kumpata?
  12. Rector1983

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kumpata Massoro Husseini Kivuga

    Kama mpaka una namba za simu yake unashindwaje kumpata?
Back
Top Bottom