Recent content by Reclusive

  1. R

    Unazifahamu fiwi? Umeshawahi kuzitumia?

    Nawezaje kupata haya maharage. Mkuu
  2. R

    Honda CR-V: Shipa lisilovuma!

    Na common challenges zake ni zipi
  3. R

    Honda CR-V: Shipa lisilovuma!

    Nina wasiwasi na ground clearance compare to. RAV 4 naona Kama Iko chini has ruogh roads
  4. R

    Honda CR-V: Shipa lisilovuma!

    Shipa mna maana Gani?
  5. R

    Honda CR-V: Shipa lisilovuma!

    Mkuu Mimi nimejikuta navutiwa na hii Honda CR-V ya mwaka 2010 4wd nitahitaji kupata uzooefu wako
  6. R

    Wakuu naomba kujua matumizi ya ya hii button kwenye. RAV 4 OLD MODEL

    Habari Wakuu naomba kujua matumizi ya ya hii button kwenye. RAV 4 OLD MODEL Asanteni
  7. R

    Nasema tusiwapishe viti wazee kwenye daladala, walichezea ujana

    Endelea kuwa na Imani hiyo, endelea kuwa mwema na wala usije kutoa Siri zake wala usimuibie. Hizi familia zetu hasa mke anapokuwa mbabe maelewano Huwa yanakuwa hafifu. Watoto wa kike mara nyingi wakiingiziwa ujinga wa mama Yao mbabe Huwa ni changamoto sana sana. Endelea kuwa mwaminifu kwake
  8. R

    Uhamiaji Musoma, huyu mama kutoka Burundi angefariki damu yake ingewalilia

    Binadamu tuoaswa kuwa na huruma, hata jamaa alikuwa na makosa bado alipaswa ahudumiwe kulingana na afya aliyonayo. Ueledi katika majeshi yetu haya ni mdogo mno inatakiwa kifanyika reformation ya maana. Kakwambia anaenda Kenya kujifungulia kwa mchumba wake wewe unakomaa utafikiri kaua. Huwa...
  9. R

    Naomba ushauri kuhusu Spark plugs za vichwa 3

    Thanks Nimeona spark plugs za iridium ndo Bora zaidi. Je hapa bongo zinapatina kwa bei Gani
  10. R

    Naomba ushauri kuhusu Spark plugs za vichwa 3

    Habari wakuu, Katika pitapita zangu nimekutana na spark plugs za vichwa vitatu na muuzaji anaona kuwa ni nzuri kuliko za kichea kimoja. Wataalamu na wazoefu wa Mambo haya naomba kupata uzoefu wenu Asante
  11. R

    Ongeza accelaration ya gari lako

    Na sisi wenye magari ya kizamani rav4 3s ya 1995 auto inawezekana kwa kuongez HP na kunguza ulaji na gharama zikoje Asante
Back
Top Bottom