Recent content by Rebo Tz

  1. Rebo Tz

    Ramani ya Mji Mkuu Dodoma ilichorwa na huyu

    Tujifunze au kujikumbusha kwa hili kidogo kwa tusiojua kuhusu Dodoma.... ANZA... Wazo la kuhamia Dodoma liliasisiwa na Mwalimu Nyerere mwanzoni mwa miaka ya 1970. Mwalimu alitaka kuona Dodoma ikistawi na serikali kuweza kuhamia huko ili kutekeleza kwa vitendo dhana ya mji mkuu. Baadhi ya...
  2. Rebo Tz

    Harakati za Ben Saanane kupambana na Rais Magufuli, ni njia sahihi ya kuwaridhisha wafadhili wake?

    Rais ni muacheni afanye yake huyo kijana apewe tu pesa lakn ninaiman kwa uwezo wa mungu Rais hawez kuchafuka hata kidogo....
  3. Rebo Tz

    Vijana tuachaneni na ndoto za alinacha, huu ndio muda sahihi wa kufanya mabadiliko

    Habari wana Jf habari za mchana mm si mjuaji sana ila kwanza tukumbushane hili kidodo... KARIBU... Vijana wengi nchini Tanzania hasa tulio na miaka ya kuanzia inshirini na kuendeea tunakuwa tumekumbwa na fikra hasi ambazo zinatufanya tuwe na hisia ya kupoteza malengo yetu ya baadae. Ili...
  4. Rebo Tz

    Humphrey Polepole hajaridhika kupewa ukuu wa Wilaya? Mbona hasikiki au kuonekana kama zamani?

    Maisha yanabadilika pia kwan ungoz na kuonekana onekana ktk tv inaingiliana vipi?
  5. Rebo Tz

    Mbwana Samatta wa Genk kashasahaulika

    Mwambie huyo ajitambui
  6. Rebo Tz

    Yajue mataifa yanayopinga uwepo wa Mungu

    Mtu mpaka anajiachia kanisan na vilevi huko haamin au anapinga uwepo wa ambaye anasujudiwa mule kanisan au msikitn...
  7. Rebo Tz

    Yajue mataifa yanayopinga uwepo wa Mungu

    Ukitaka utapewa tu mkuu
  8. Rebo Tz

    Yajue mataifa yanayopinga uwepo wa Mungu

    Utafiti Unaonesha kwamba 63% ya watu duniani wanaamini uwepo wa Mungu, yafuatayo ni Mataifa yasiyoamini uwepo wa Mungu (Atheism). Yasemekana kiwango cha watu kuwa na imani na dini na uwepo wa Mungu kinazidi kupungua duniani huku makanisa mengi hasa Ulaya yakigeuzwa kuwa majumba ya starehe japo...
  9. Rebo Tz

    Haya ndiyo maneno ya Fatma Karume kwa Lipumba CUF

    Soma vizur mkuu tusianze mabishano...,labda kama hujaelewa tukueleweshe vzur soma vzur uwo uzi alafu utajiona kama usemalo n kwel au mipasho soma vzur
  10. Rebo Tz

    Haya ndiyo maneno ya Fatma Karume kwa Lipumba CUF

    Kuna kauli ya kutenda..,kutendewa na kutendwa pia,kwahiyo mkuu kati ya hzo kauli kuna kauli moja wapo imetumika ktk kumuwakilsha huyo fatma...
  11. Rebo Tz

    Haya ndiyo maneno ya Fatma Karume kwa Lipumba CUF

    [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji85] [emoji85] kwanza tuone mkuu
Back
Top Bottom