Recent content by Reazon Zeph

 1. R

  Lowassa: Masikini hafai kuingia Ikulu!

  Ufalme wa mbingu kwa masikini na kwa tajiri kupenya kwenye tundu la sindano. Sorry ni NGAMIA KUPENYA KWENYE TUNDU LA SINDANO.
 2. R

  Serikali kuagiza Toyota GX V8 zipatazo 171

  Sputam budget kama hzo ni jipu la ubongo! Wange tuepushia adha za foleni zisizo kuwa na tija hapa jijini kwa kutafuta m'badala hata wa matumizi ya helikopta kuliko 147 * 171 * 100 ni zoezi zito kidogo au ndio wanakombelezea vilivyokua vimebaki? Hyo mikataba waliyo ila haiwatoshi? Hawa watu...
 3. R

  Natafuta corolla 1,000,000

  ukipata muda nenda kajionee kuna mengine ni engine tu una badili body na makorokoro mengne yanakua poa. Matter ya kutembelea hyo zoo
 4. R

  Natafuta corolla 1,000,000

  Yapo mpaka laki tatu! Manzese mahakama ya ndizi wana ya katakata unaweza kwenda kuosha macho ukajichagulia
 5. R

  Huyu mgombea anadai ni mzima kweli!?

  Kama ikulu ni wodi ya wagonjwa ngoja tuone
 6. R

  Don’t build Bagamoyo port, shippers tell Government

  Kwa faida ya wanao kusudiwa samahani lakini Alafu TOPIC HII ingekua kwa lugha ya wanao kusudiwa ingekua poa WALA SIO TOPIC HII TU.
 7. R

  Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais!

  Watanzania 2mezoea kudanganywa kiasi kwamba hata m2 akiongea ukweli bado mnaona uongo! Mtoa mada jipange
 8. R

  Lowassa afunguka, awataka wanaomchafua kujitokeza wazi

  kibaya zaidi ni ujangili kwa wa TZ
 9. R

  Lowassa afunguka, awataka wanaomchafua kujitokeza wazi

  A.K.A. KURA YANGU IPO CCM ILA SIO KWA WA 150M Per Day
 10. R

  Lowassa afunguka, awataka wanaomchafua kujitokeza wazi

  wanamchafua akina nani bhana? Nani asiye jua alikua akilpwa 150M Kwa SIKU? Leo hii awe MGENI? Nakumtafuta MCHAWI nani? ALIJIUZULU VIPI? Au mda wake wa kuwa madarakani ULIISHA? SIJUI SIASA ILA NDIO NINAYO KUMBUKA
 11. R

  Kwa watumiaji wa airtel, kifurushi cha bei nafuu

  bila aibu yoyote? Kuna 1gb kw elfu2 kwa wiki! Kama umeshindwana na smartphones 2mia posta bado huduma zipo
 12. R

  Kwa watumiaji wa airtel, kifurushi cha bei nafuu

  kwanza airtel kwa internate na uwepo wa internate ambapo mitandao mingine haipo still cheap! Mm nipo hapa hapa dar ila kwa internate kuna mahali nikiwepo cpat internate zaidi ya airtel ss leo kuna muharibifu ww' an airtel still cheap unataka ugewe na vocha bure! Haya 2ku2mie airtel_money au...
 13. R

  Kwa watumiaji wa airtel, kifurushi cha bei nafuu

  wengine hua wanakuaga waharibifu automatically kwanza kulinganisha na mitandao yote kwa internate airtel naona kama ipo good'good ss huyu mwnye codes kila m2 am2mie buku kwani yy babu wa loliondo? Kwanza nimehama mitandao yote na kutrust airtel kwa benefits alafu nakutana na huyu m2 basi doh!
Top Bottom