Sputam
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 600
- 390
Kwa mjibu wa Mbunge wa Muheza, leo jioni akichangia ktk bajeti amesema serikali inatarajia kuagiza magari 171 aina ya Toyota Gx V8 na kila gari lina thamani ya shilingi za kitanzania milioni mia moja na arobaini na saba (147 000 000 tsh).
Nini maoni yako kama mtanzania kufuatana na mpango huu wa serikali?
Nawasilisha!
Nini maoni yako kama mtanzania kufuatana na mpango huu wa serikali?
Nawasilisha!