Recent content by Reasonable

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nimeolewa na golikipa nifanyeje?

    hukujua yoote haya wakati unakutana naye, anakupenda, anakutongoza, unamkubalia, anakupeleka kwa wazazi, unampeleka kwa wazazi, mnakubaliana kuoana, ndoa inpangwa, barua inapelekwa, kishika uchumba kinatolewa, mahari inatolewa, ndoa inafanyika, mnapelekana honey moon, mnaanza...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa wataalamu wa kutoa b**ra msichana

    Tujue umri wako kwanza ndo uamini kuwa jf ya leo imevamiwa na watoto kama facebook. Kwa hii thread!!!!!!! Humu jf cdhani kama kuna mtu wa kufundishwa hayo mambo kwa wakati huu.. Hao ni watakuwa ni watoto wanaotegemea kumaliza darasa la saba kesho kutwa.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Majambazi yapora na kuua ndani ya daladala

    So sad jamani....
  4. R

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum

    Hello jamii members
Back
Top Bottom