Recent content by rearden

  1. rearden

    Nimeishi Moshi, Bukoba, Lushoto aisee watanzania tuna ukarimu sana tofauti na tunavyoshambuliana kwa tofauti zetu

    Nimebahatika kufanya kazi karibu wilaya zote Tanzania nzima Ila mkoa wa Tanga pamoja na wilaya zake zote toka kilindi, kwediboma, Handeni, Korogwe, Lushoto, muheza, tanga mjini Mpaka Mkinga kwa wadigo ndo the best place kwa kuishi na watu wakarimu. Nimetembea Tanzania nzima Ila hakuna sehemu...
  2. rearden

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Atakua amewapa over wote incl overtime..manana wanatupiana mbaya...point Kama zote
  3. rearden

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    We jamaa nishakusoma..Ila next tym weka mkeka kabisa na wenzako wapate
  4. rearden

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Basket bet nzur nenda na Total over au under
  5. rearden

    World largest deal in cashew nut trading history

    Ambayo siyo fake Ni Ile aliyosema MH Wazir wa kilimo juzi kwamba serikali inadaiwa bil 105 na wakulima wa korosho..Ina quotes kila sehem na vyombo vya habari vimeireport..hii ya kwako ya greatest trade ever Kama Sio propaganda na fake unaweza kutwambia umeiquote wap?????
  6. rearden

    World largest deal in cashew nut trading history

    Fake news....ingekua Kweli mtoa Mada pamoja na muhusika mkuu Kwa jinsi walivyo wapenda sifa wangekua more than proud kuweka citation au source ya hii habari
  7. rearden

    Bajaj aina ya Sinoray for Sale

    0735404780
  8. rearden

    Bajaj aina ya Sinoray for Sale

    Bajaj Toleo la kampun ya Sinoray Full registered ( Reg date: 20 July 2019) Imekatiwa Bima ya mwaka mzima ( July 2019 to July 2020) Used, kwa maana ya kwamba iko barabarani kwa week 3 toka inunuliwe Location Dar Price 4,300,000 Tsh For contacts nicheck PM
  9. rearden

    If I had my druthers....

    It means atulie...aweke sera nzuri..ateue watu Makini..asiingilie maamuzi ya wasaidizi wake..akae pembeni..nchi iendeshwe na sera nzuri pamoja na katiba na Sio maamuzi ya mtu mmoja. We are a state and not a one man army
  10. rearden

    If I had my druthers....

    Wewe ndio huelewi...hatutaki Rais afanye chochote...tunamtaka atengeneze mazingira mazuri ya biashara,ajira,etc ili tufanye WENYEWE..peke yake hatoweza
  11. rearden

    Erick Kabendera: Will I be safe or I may end in the prison tomorrow?

    Wamekiri kuwa Ni MMOJA kati ya waandishi wao ndio..lakini swali Ni je zile makala la kumchafua JPM aliyeziandika Ni nani?? Una proof kuwa Eric ndiye aliyeziandika???Je Eric ndiye mwandishi pekee wa jarada the Economist ulimwenguni..hawana waandishi wengine ambao pengine ndio walioandika hizo...
  12. rearden

    Erick Kabendera: Will I be safe or I may end in the prison tomorrow?

    Who said nampinga Magu...nimekuuliza umejuaje kuwa familia yake itaumia au itateseka..Eric anasimama Kama Eric..leave his family out of this...wako Sawa na wataendelea kuwa sawa...as long as jamii nzima imejionea mapichapicha yaliyozunguka kukamatwa kwake na mashtaka yake leo mahakamani Kwa...
  13. rearden

    Erick Kabendera: Will I be safe or I may end in the prison tomorrow?

    Are u sure beyond reasonable doubt kwamba Eric ndie aliyekua akiandika zile makala the The economist...I mean do you have any tangible proof kwamba yeye ndie aliyewapa the economist zile publications??? Na Kama Ni yeye mbona hajawa acknowledged kafika hata moja ya makala zile?
  14. rearden

    Erick Kabendera: Will I be safe or I may end in the prison tomorrow?

    Kwa Nini unasema kuwa familia yake ndio itaumia..familia yake itaumia kivipi..je unawafahamu ndugu zake wote au ukoo wake wote, social na economic status zao..au Kwa mawazo yako unadhan kuwa Eric ndie alikua akiprovide Kwa ukoo mzima??
Back
Top Bottom