Recent content by Realty16

  1. R

    MBINU YA BIASHARA NI MATANGAZO

    Habari wa JF, Katika harakati za kukuza biashara yako kujitangaza ( matangazo ) ni jambo lisilokwepeka. Extrem_Marketing tunakufahamisha jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii ( Facebook na Instagram ) kukuza biashara yako. Tunakusaidia kutangaza kupitia hii mitandao kwa kuyalipia matangazo yako...
  2. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Asante sana mkuu kwa taarifa.
  3. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Una uwezo wa kujaza na kudownload CSC zaidi ya mara moja, lakini hii ya 2 ubadilishe agency number either ubalozi au hicho chuo kingine. Fanya yote kama yapo ndani ya uwezo wako.
  4. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Jaribu kutumia internet explorer
  5. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Kuna jamaa mmoja amenimbia kuwa yeye alikusanya vitu vyoote vilivyoitajika ( akajaza online form CSC ila agency number akaandika ya ubalozi wa china) chini kule akaandika vyuo 3 angependa kusoma, then akapeleka pale ubalozini, na amepata udhamini.
  6. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Mkuu...ukishamaliza kujaza na kuwa na mambo yote yanayoitajika ni kuzituma tu, kwenda chuo (agency husika) kupitia DHL . Ila kama una rafiki yoyote huku unaweza ukamtumia kwy email then yeye akaziprint na kutuma chuo maana kukwepa gharama za DHL.
  7. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Safi sana...nakuunga mkono 100%
  8. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Wakikuzigua sana design mwenyewe...nilifanya ivyo zamani mambo yalivyokuwa magumu kuipata.
  9. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Unapata mkuu....ukienda chuoni kwako unawaambia....unataka barua inayoonyesha masomo ulisomo kwa lugha ya kiingereza.
  10. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Good...thanx for the information.
  11. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Sikupati....+8615554240279
  12. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Tumia "internet explorer" sio "google chrome" wala "mozilla fire fox"
  13. R

    Chinese Scholarship Application procedure

    Kila chuo kina agency number ambayo inatambuliwa na CSC ( china scholarship council) hivyo ni lazima ujue chuo unachotaka kusoma na namba yake. Utapata information kwy mtandao ya namba ya chuo utakacho.
Back
Top Bottom