Recent content by realsoldier

  1. R

    Je, homa ya ini inatibika kwa mitishamba?

    Tupate mrejesho wakuu kwa yeyote aliyetumia dawa
  2. R

    Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo?

    Hakuna tofauti kwenye speed kwa kuzingatia kuwa speed hupatikana baada ya kugawa time taken kwenye distance travelled. Kitakacholeta utofauti ni kwamba V8 itatumia muda kidogo sana kufikia hiyo speed ya 80km/h kwasababu ya engine capacity kuwa kubwa wakati passo itatumia muda mrefu kufikia speed...
  3. R

    Tumbo kuunguruma

    Zingatia mlo kamili (well balanced diet), Kunywa maji ya kutosha na acha au punguza kabsa kula pilipili kwani hizo ni dalili za vidonda tumboni.
  4. R

    Ugonjwa wa homa ya ini unazidi kuongezeka, ukiupata sio rahisi kujua kama unao

    Mwaga ugali ndugu .. utakua umesaidia watu wengi na MwenyeziMungu atakubaliki na kukurahisishia mambo yako
  5. R

    Nitumie mbinu gani kupambana na hii UTI?

    Pole, Kwanza hakikisha unaweka utaratibu wa kunywa maji mengi hasa asubuhi (yakiwa ya vuguvugu itapendeza) Pili, Chukua maji vuguvugu glasi moja changanya na magadi,Vitunguu swaumu pamoja na limao. Kunywa siku tatu asubuhi na jioni.(Katika hiki kipindi chote usile mzigo) Tatu nakushauri uache...
  6. R

    Mtoto ana mwaka na miezi 7 na mama yake ana ujauzito ila afya ya mtoto kama inazorota

    Pole Mkuu, Mimi pia nliwahi pitia hii changamoto tena kwangu mtoto alikua na miezi nane tu, Tulichofanya mtoto aliachishwa kunyonya lakini pia tukamtenganisha kulala na mama yake kwani ilionekana kuwa mama yake anajoto jingi sana linaloweza kumuathiri mtoto. Alhamdulillah watoto wote wamekua na...
  7. R

    Nahitaji gari used (Saloon car)

    Salaam wakuu, Nahitaji gari ndogo kwa ajili ya matumizi na mizunguko midogo midogo hapa mjini Dar es salaam. Napendelea zaidi Spacio, Premio, Allex, Runnex, Raum, Ractic na Rumion. Bajeti yangu ni TZS 6M. Tuwasilisane kupitia namba 0622078182.
  8. R

    Kimenuka TARURA Mwanza: Watumishi hawamtaki Meneja, Fuko

    Kinachosumbua hao watumishi ni kufanya kazi kwa mazoea, Fuko ni miongoni mwa wahandisi wasiopenda kuona mambo yao yakienda vibaya (Kazi chafu) Na mara nyingi havumilii kuona mtu akifanya kazi vibaya au tofauti na utaratibu. hapo mtagombana sana. Sasa sisi wabongo hatupendi kuonywa hata kama...
  9. R

    Kimenuka TARURA Mwanza: Watumishi hawamtaki Meneja, Fuko

    Na bado mwaka huu mtakufa na njaa, Mlizoea kupiga dili, sasa hivi mrija umekatwa.Mwaka huu evaluation imefanyika kwa weledi wa hali ya juu sana. Kama mlikua mmekopa mkitegemea kulipa wakati huu mmekwama, Acheni Majungu, Fanyeni kazi, Fuko anapiga sana kazi yule jamaa.
Back
Top Bottom