Kimenuka TARURA Mwanza: Watumishi hawamtaki Meneja, Fuko

Nyanswe Nsame

Nyanswe Nsame

Member
Joined
Jul 9, 2019
Messages
27
Points
45
Nyanswe Nsame

Nyanswe Nsame

Member
Joined Jul 9, 2019
27 45
Kimenuka Tarura Mwanza, watumishi hawamtaki Meneja, Fuko

Inaelezwa kuwa baadhi ya wafanyakazi katika ofisi ya wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini Tarura mkoa wa Mwanza (TARURA) hawana furaha na imani ya kufanya kazi pamoja na meneja wao wa mkoa wa Mwanza.

Meneja wa TARURA mkoa wa Mwanza ni Bwana Kuyoya Fuko.

Fuko inaelezwa amekuwa akitumia lugha chafu zisizofaa kwa wafanyakazi wenzake ambao wapo chini yake kitendo ambacho kinaelezwa kuwa kero kwa watumishi hao.

Fuko pia amekuwa akitumia nafasi yake kuwakandamiza wenzake pindi anapoona maslahi yake kuingiliwa (upigaji wa dili) jambo ambalo limesababisha baadhi ya watumishi kuanza kuomba kuhamishwa.

Watumishi hao wanaomba kuhamishiwa vituo vingine vya kazi kutokana na kuchoka kufanya kazi pamoja na Fuko ambaye kwa muda mrefu tangu awe meneja amekuwa kero na mtu wa kujikweza.

Watumishi wengi ambao wanakumbwa na kadhia hiyo ya kutolewa lugha chafu ni wanawake ambao wamekuwa wakidhalilisha na fuko ambaye amekuwa na tuhuma nyingi za upigaji dili.

Pia inaelezwa Fuko amekuwa akishirikiana na Mohamed Muanda ambaye ni Meneja Tarura Nyamagana katika kupiga dili zao.

Tuhuma nyingine za Fuko ni kula dili na wakandarasi kipindi zabuni zinapotangazwa inaelezwa amekuwa akiomba (ten percent) kutoka kwa kila mkandarasi ambaye atapata kazi.

Meneja huyo, pia anatuhuma za kuomba kiasi cha Sh. 100 Milioni kutoka kwa kampuni moja ya ujenzi wa daraja ambalo ujenzi wake unaendelea mpaka sasa mkoani Mwanza.

Soon tunaleta ushahidi wa haya ambayo yameelezwa
 
amatolo

amatolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2017
Messages
668
Points
1,000
amatolo

amatolo

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2017
668 1,000

Acha majungu wewe, inaonekana Evaluation hii imekupita nje, Fuko amefanya kazi muda mrefu na ameaminiwa toka akiwa jiji na alikuwa akifanya kazi nzur leo hii unataka kuleta story zako za chooniBila shaka wewe umetumwa kumchafua Fuko ili awachie ile nafasi {Pia nahisi wewe n Eng. Magoti unataka kurudishiwa cheo chako.}
 
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2008
Messages
15,745
Points
2,000
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2008
15,745 2,000
Kimenuka Tarura Mwanza, watumishi hawamtaki Meneja, Fuko

Inaelezwa kuwa baadhi ya wafanyakazi katika ofisi ya wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini Tarura mkoa wa Mwanza (TARURA) hawana furaha na imani ya kufanya kazi pamoja na meneja wao wa mkoa wa Mwanza.

Meneja wa TARURA mkoa wa Mwanza ni Bwana Kuyoya Fuko.

Fuko inaelezwa amekuwa akitumia lugha chafu zisizofaa kwa wafanyakazi wenzake ambao wapo chini yake kitendo ambacho kinaelezwa kuwa kero kwa watumishi hao.

Fuko pia amekuwa akitumia nafasi yake kuwakandamiza wenzake pindi anapoona maslahi yake kuingiliwa (upigaji wa dili) jambo ambalo limesababisha baadhi ya watumishi kuanza kuomba kuhamishwa.

Watumishi hao wanaomba kuhamishiwa vituo vingine vya kazi kutokana na kuchoka kufanya kazi pamoja na Fuko ambaye kwa muda mrefu tangu awe meneja amekuwa kero na mtu wa kujikweza.

Watumishi wengi ambao wanakumbwa na kadhia hiyo ya kutolewa lugha chafu ni wanawake ambao wamekuwa wakidhalilisha na fuko ambaye amekuwa na tuhuma nyingi za upigaji dili.

Pia inaelezwa Fuko amekuwa akishirikiana na Mohamed Muanda ambaye ni Meneja Tarura Nyamagana katika kupiga dili zao.

Tuhuma nyingine za Fuko ni kula dili na wakandarasi kipindi zabuni zinapotangazwa inaelezwa amekuwa akiomba (ten percent) kutoka kwa kila mkandarasi ambaye atapata kazi.

Meneja huyo, pia anatuhuma za kuomba kiasi cha Sh. 100 Milioni kutoka kwa kampuni moja ya ujenzi wa daraja ambalo ujenzi wake unaendelea mpaka sasa mkoani Mwanza.

Soon tunaleta ushahidi wa haya ambayo yameelezwa
Fuko alishatoka Njombe? Mwanza aliondoka na kashfa huyo.
Siamini katika yeye. Ni mbinafsi sana
 
N

Nanye Go

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Messages
3,696
Points
2,000
N

Nanye Go

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2018
3,696 2,000
Aliishasema aliyemteua mkimkataa mnajisumbua, hamtoi ondokeni nyie.
 
Sijuti

Sijuti

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Messages
3,255
Points
2,000
Sijuti

Sijuti

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2014
3,255 2,000
Fuko,
Mzizi wa neno ni fuk-
Mnyumbuliko: Fukoana, Fukoaneni, Fukisha, Fukishia Fukua.
 
M

Mugo wa Bundali

Member
Joined
Jul 6, 2015
Messages
6
Points
45
M

Mugo wa Bundali

Member
Joined Jul 6, 2015
6 45
Kwa mtu mwenye akili ukisoma flow ya hii kitu ataona tu kuwa ni majungu na kuchafuata kutokana ama na wivu au au chuki kutokana na kikundi cha watu kudhibitiwa katika kupiga dili.
Kama haya mambo ni kweli na mpika majungu anasema anao ushahidi kwanini asiende katika vyombo husika? PCCB au Polisi au Usalama wa Taifa? Na hata kaboa ya kufika huko TARURA inauongozi na mamlaka za kisheria za kushughulikia mambo hayo..kwann hawapelekihuo ushahidi huko?
Acheni mambo ya kipumbavu fanyeni Kazi. Wivu na majungu hautawasaidia kitu!!
 
R

realsoldier

New Member
Joined
Apr 7, 2018
Messages
2
Points
45
R

realsoldier

New Member
Joined Apr 7, 2018
2 45
Na bado mwaka huu mtakufa na njaa, Mlizoea kupiga dili, sasa hivi mrija umekatwa.Mwaka huu evaluation imefanyika kwa weledi wa hali ya juu sana. Kama mlikua mmekopa mkitegemea kulipa wakati huu mmekwama,
Acheni Majungu, Fanyeni kazi, Fuko anapiga sana kazi yule jamaa.
 
Ngonidema

Ngonidema

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Messages
2,526
Points
2,000
Ngonidema

Ngonidema

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2015
2,526 2,000
Nyambafuuu mkubwa wewe acha majungu na wivu, umeleta uzi wako kimajungumajungu, Fuko nimjue hana hayo mambo hata kidogo, kiukweli Fuko hufanya mambo kwa weledi wa khali ya juu sana, kifupi ni mchapa kazi sana, au ndugu yetu umetumwa, nenda kwa aliyekutuma kamwambie majungu yagonga mwamba
 
J

Jikombe

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2010
Messages
287
Points
225
J

Jikombe

JF-Expert Member
Joined May 13, 2010
287 225
Mleta mada inaonekana kuna kitu hakiko sawa kati yenu. TARURA haina muda mrefu toka ianzishwe ila unalalamika wafanyakazi wenzake wanalalamika kwa muda mrefu. Pia umeeleza kuwa huyo Fuko alipewa 100m kama rushwa na mkandarasi wa daraja . Unaweza tueleza gharama ya ujenzi wa hilo daraja? Normally njia/ barabara za TARURA hazina daraja zina culverts to (pipe or box). Sasa kwa rushwa ya 100m ujue contact sum yake si ya TARURA. Tuchukulie basi contract ni ya 1b, unadhani profit margin ya mkandarasi itazidi 10% kwenye kipindi hiki cha uhaba wa kazi? Ni mkandarasi gani atakuwa tayari kutoa faida yake yote ambayo hana uhakika kama itakuwa sawa na estimate zake due to associated risks wakati wa ujenzi?
Inawwzekana kweli huyo Fuko akawa anamapungudu yake kama binadamu ila kwa tuhuma zako hazijakaa sawa zinaonekana kama ugomvi wenu binafsi
 
Ngonidema

Ngonidema

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Messages
2,526
Points
2,000
Ngonidema

Ngonidema

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2015
2,526 2,000
Huyo bwana hata raia wanalalamika kuhusu swala la parking,nasikia anawajibu hovyo Sana na matusi juu
Kichomiz id yako imefanana na uchangiaji wako, achana na habari za kusikia mkuu, tukikwambia tupe ushaidi, utatuletea wa kusikia, acheni majungu mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,335,555
Members 512,359
Posts 32,509,444
Top