Jamani kuna kitu kinaniumiza kichwa hapa, hivi unavyosema kuridhishani kimapenzi huwa kikubwa hapo ni kitu gani
(1) Mwanamke anapaswa kufika kileleni mara ngapi na baada ya muda gani ili we mwanaume useme umemridhisha?
(2) Mwanaume anapaswa kufika mara ngapi na baada ya muda gani...
Mwalimu wangu wa mambo ya kiroho alinifundisha juu ya mzaliwa wa kwanza kuwa ni lango i.e huruhusu au kizuia jambo kuingia katika familia kwa hiyo wanapaswa kuombewa kwa Mungu sana pia wanahusika sana na kufanikiwa kwa familia pia sadaka kwa Mungu juu ya hawa watu ni muhimu sana.
Wewe ni mshabiki tuu ila kiukweli ni usumbufu usio na maana yoyote, ila kwa sababu halijakugusa we unaona ni sawa kimsingi hakukuwa na haja ya kufunga chuo.
Sio meno ya Tembo tuu, CCM haitufai tena jambo la msingi ni kuhakikisha 2015 vijana tuhamasishane tupige kura
chagua upinzani ili tupunguze idadi ya hao wabunge wa CCM ambao wanakitetea chama na kusahau wananchi ila wale wachache wanaojua wajibu wao warudishwe bungeni mana tukiweka chama kimoja...
Jamani CCM hakitufai , kama kilitufaa ni enzi hizo , tumia logic kidogo kabisa taifa letu ni masikini chini ya chama gani? jibu CCM ,sasa kwa nini tuendelee kuchagua umaskini? popote pale Tanzania ukichagua CCM usilaumu HALI ngumu ya maisha maana hata ukifanya kazi kwa bidii utakumbana na vikwazo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.