Mahusiano

Mahusiano

RealJcr.tx

Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
6
Reaction score
0
Jamani kuna kitu kinaniumiza kichwa hapa, hivi unavyosema kuridhishani kimapenzi huwa kikubwa hapo ni kitu gani
(1) Mwanamke anapaswa kufika kileleni mara ngapi na baada ya muda gani ili we mwanaume useme umemridhisha?
(2) Mwanaume anapaswa kufika mara ngapi na baada ya muda gani ili we mwanamke useme umemridhisha?
na ni jambo gani linapaswa kufanywa kama maboresho.
 
Ukikomaa utafahamu yote hayo bila kufundishwa!

naomba nikulize swali lakizushi:

nani kwa mara ya kwanza kabisa alikufundisha kuwa 'me huhitaji 'ke na 'ke huhitaji 'me? (samahanini wakubwa wangu)
 
Kikubwa ni mawasiliano kati yenu ke na me,uzoefu niliopitia ni kwamba sisi wanaume ndo tunaweza
kujizuia kufika kileleni kabla ya wenzetu wanawake, sababu wanawake huchelewa kufika;ukimudu hilo wala hakuna presha tena;ndo kama nilivyosisitiza mawasiliano na mwenzako ndo muhimu,usipeleke mambo kwa utashi wako peke yako.

Yaani ukiwa fundi mbona bao moja tu tosha?,labda kina dada wan wazo tofauti.
 
khhhhaaaaa!!!! hiyo topic utafundishwa kwenye somo la baiolojia.
 
Back
Top Bottom