Umeongea vizuri sana,katika suala la biashara Precision wanaijua biashara ila ATC kiukweli ule userikali na kila mtu kujiona ana mabawa kunawaharibia sana.
Ukiwa kwenye mfumo au nje ya mfumo na una connection, huwezi kuona umuhimu wa baadhi ya sheria kufanyiwa marekebisho. Ukiwa kwenye mfumo ni rahisi kuwafahamu baadhi ya watendaji walio katika sekta mbalimbali vivo hivyo ukiwa nje ya mfumo na una connection ndani ya mfumo ukiwa na shida yoyote...
Vitu vingine kukaa na kubishana ni kupoteza nguvu tu,acheni mtoa mada aamini anachoamini...na kumbuka hachangii hata theluthi katika kuendesha maisha ya walioajiriwa.Waajiriwa chapeni kazi mzidi kusonga mbele.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.