Recent content by real pasta

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kama course unayosoma haipo kwenye list hii jiandae kisaikolojia

    jamaa amesema ukweli ila hajaspecify ni hivii Kama wew kwenu ramani haiko vizur yan wew ndo butua uokoe wenzio hizo ndo caurse za kusoma ila Kama kwenu ramani imekaa vzur hata caurse zingne mbali na hzo unaweza kusoma but ucje ukaiga mtu kusoma caurse fulan angalia uhalisia wa kwenu
  2. R

    JamiiForums Tanzania tusubiri serekali watoe tamko

  3. R

    JamiiForums Tanzania Walimu tunanyanyaswa sana

    kuwafukuza hao "walimu wanafunzi" wamefanya vibaya Mimi naona wangepigwa demotion kutoka hiyo degree wanayo tafuta hadi certificate
  4. R

    JamiiForums Tanzania Walimu tunanyanyaswa sana

    mwalimu alikuwa anawajibika jamani kwahiyo hicho kilicho tokea ni kama ajari kazini
  5. R

    JamiiForums Tanzania msaada jamani tafadhali

    msaada jamani tafadhali msaada jamani tafadhali
  6. R

    JamiiForums Tanzania msaada jamani tafadhali

    hivi caurse ya "BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN PRIMARY EDUCATION" unakuwa mwalimu tu au inakuwaje maana hili neno TECHNICIAN limenichanganya kweli
  7. R

    JamiiForums Tanzania Poleni Wana UDOM kwa Msiba

    R.I.P mwana udom
  8. R

    JamiiForums Tanzania waoooo!

    Xem 2 u! bt hyo title badilsha
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wana duce

    ndo hvyo mrud chuo ndo lyf hlo
  10. R

    JamiiForums Tanzania Je naweza kuwa na digrii mbili za taaluma tofauti tofauti?

    Inawezekana si umesema muda sio tatizo bt life span imeshuka
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hamna kazi nzuri kama ualimu jamani.

    hv kwa hali hii elimu ya tz itakua kwel? kama mwalimu anafurahía muda wakutoka je wanafunz itakuwaje?
  12. R

    JamiiForums Tanzania boom sua aje?

    wakuu mnpe kampan hv boom kwa 1 yr hupata baada ya cku ngap chuo kkfungua coz naona sua 2naenda wk ya 3 especially 1 yr tangu 2fungue chuo bt nona kmya kama kusain wengne 2mesain kitaaaaaaaambo hv niaje wakuu?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnazingua hamueleweki,

    cio kla kng'aacho ni dhahabu kjana kuwa mwamnfu kwa mpenz wako may be alkuwa anakupma huwamnfu wako kwenye penz lako
Back
Top Bottom