Recent content by real life skills

  1. R

    Rais Samia afanya Ufunguzi wa Barabara ya Nyahua – Chanya Mkoani Tabora

    Kiongozi wa nchi ndie anaweka mawaziri. Mawaziri wanamtumikia yeye.
  2. R

    Rais Samia afanya Ufunguzi wa Barabara ya Nyahua – Chanya Mkoani Tabora

    Acha kutukuza madikiteta katika nchi ya wastaarabu.
  3. R

    Rais Samia afanya Ufunguzi wa Barabara ya Nyahua – Chanya Mkoani Tabora

    Mbona mnafiaga watu ambao hawasitahili mnawaacha wanaostahili. Barabara ya Nyahua-Chaya imejengwa kwa mkopo kutoka kuwait Fund ambao ulutafutwa na Kikwete. Na mipango yote ya ujenzi wa barabara hiyo iliachwa na Kikwete. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
  4. R

    Wahuni wana ujasiri wa ajabu na wanachukua hatua wakati watu wema wana woga wa ajabu na hawachukui hatua

    We sukuma gang hufichagi chuki zako kwa Samia! Watanzania tunatakiwa kumuunga mkono na kumtia moyo kiongozi huyu mwema tuliyepata.
  5. R

    Nehemia Mchechu adai fidia Tsh. billioni 3 kwa kuchafuliwa na Gazeti la The Citizen

    Wewe ndiye mpuuzi namba wani! Kasome ripoti ya cag ujue mafisadi halisi! Bila shaka na wewe ulikuwa mnufaika wa ile serikali iliyokuwa inafanyia kazi zake gizani!
  6. R

    Huo Ndio "UHUNI" Siasa za Visasi na Kukomoana!

    Nyinyi wajane wa dikteta mnataabu sana. Mtateseka mno!
  7. R

    Dkt. Tulia: Kama wasingeenda Mahakamani ningetangaza nafasi kuwa wazi

    Hii nchi imejaa wapumbavu wengi z sana! Ulitaka raisi akae hotel ya uswahilini huko new York? Halafu nyie washamba mnateseka sana for nothing. Hapa Tanzania tu kuna hotel zina bei kubwa kuliko hiyo. Kuna ubaya gani?
  8. R

    Gharama ya chumba kwa siku ni Milioni 1.7 kwa Hoteli ya the Ritz Carlton iliyotumika na Msafara wa Royal Tour Marekani

    Ushamba tu na roho mbaya zinawasumbua! Humiyo gharama kwa hotel kubwa ni ndogo mno! Hapa Tanzania tu kuna hotel zina bei kubwa kuliko hizo. Sijui mnaishi mapori gani hata hamna habari.
  9. R

    Uchumi wa Kati umeenda wapi?

    Wewe ndie shabiki ambaye huelewi lolote! Kama una elimu halafu hujui kwamba mwendazake alikuwa na fiksi na takwimu za kupika.. ulienda tu shule...hukupata kuelimika.
  10. R

    Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

    We jamaa mweupe kabisa! Hujui lolote kwenye viwanda umekalia kuimba mapambio tu na sound za Mwendazake. Five star printers ya Masumini ipo kitambo kabla ya Magu. Jambo Food ya Salim Mbuzi wa Shinyanga ipo tangu wakati wa Kikwete. Huyo gas security service ndio nini sasa? Hakuna kiwanda kinaenda...
  11. R

    Hayati Magufuli alisitisha ongezeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa Bwawa la Nyerere

    Nenda kwenye tovuti ya BOT uone orodha ya aliowakopa yakiwemo mabenki trillion 20! Kwa miaka mitano tu! Mwendazake alikuwa mtaalamu kwelikweli wa fix.
  12. R

    Chuki dhidi ya Rais Samia ni kwasababu ni mwanamke

    [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
  13. R

    Mwaka 2025 tunahitaji Wabunge jasiri kama Luhaga Mpina

    [emoji106][emoji106][emoji106]
  14. R

    Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

    Huyu kanjanja pasco anasumbuliwa njaa na ukabila tu. Hana lolote la maana. Kwa jinsi alivyidhalishwa na yule kiongozi dhalimu kutoka kabila lake siku ile alipomuuliza swali usingetarajia aje awe chawa wake! Ni ukabila tu unamsumbua
  15. R

    Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

    Nyinyi wapambe wa mwendazake mnaweweseka sana. Watanzania sasa hivi wanafuraha ana amani. Mtanzania gani anatamani tena kutawaliwa kama ng'ombe? Mtanzania gani anataka tena maisha ya kutekwa na kuuwawa? Hatutaki tenaa nchi hii kuongozwa na watu wa kaliba ya Magufuli. Hatutaki kuongozwa na...
Back
Top Bottom