Hivi hakuna wakati wanasiasa wanaweza kuongea kama Watanzania wakaachana na vyama vyao kwanza?
Inanishangaza sana masuala nyeti kama ushirikiano wa Kimataifa watu wanayajadili kwa mtazamo mmoja wote kisa tu ni chama fulani.
Kuna mfano wa Taifa gani ambalo limewahi kupiga hatua kwa kugombana na...
Wakati tukiendelea na majadiliano napenda kuwapa mrejesho kama mleta mada hii.
Kama mnavyoona kwenye picha hiyo ndio nyumba ambayo nilianza kujenga na sasa nimefikia stage hiyo.
Mpaka hapo unapoona sina popote nilipoathirika hasa kibiashara na uchumi kiujumla na hiyo yote ni sababu nilimaua...
Urithi pekee unaoweza kumsaidia mtoto ni ikiwa wazazi walikupeleka shule, wakafundisha kuishi na watu kwa hekima na busara.
Mengine ni madogo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika familia zetu desturi iliyopo ni kuwa baba ndie msimamizi wa issue zote hasa masuala ya kifedha.
Tumezoea kumuona mama akimuomba baba pesa kwa ajili ya mambo fulani either yake binafsi, watoto au familia nzima.
Hii desturi binafsi sioni kama ina manufaa hasa kwa mustakabali ya familia...
Yeah lakini kama una uwezo wa kutengeneza zaidi ya hiyo kwanini usifanye hivyo?
Maana calculate kodi, usafiri, malazi, dharura utakuta unasave kiasi kidogo sana au husave kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepata wasaha wa kuingia kwenye tasnia ya biashara na kwakuwa mimi ni kijana bado basi nimetumia muda wangu kufanya tafiti mbalimbali juu ya biashara.
Leo nataka kuzungumzia suala la biashara kufeli.
Watu wengi wamekuwa na ndoto ya kumiliki biashara lakini kwa namna moja au nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.