Recent content by REAGAN C.MABOGO

  1. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini, wametuuza waumini wao kwa Shetani kwa kuwa hatujaona msimamo wowote wa kiroho madhubuti wa pamoja kuhusu suala la Uviko 19.

    Dini zipi? Za wazungu na wayahudi (ukristo), za waarabu (uislam) au za waafrika? Na kwani kuna dini yenye kiongozi au una maanisha viongozi wa makampuni (mazehebu) ya yenye mwelekeo wa hizo dini.?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako akiwa MUHAS. Inasikitisha

    Mtanzania anatakiwa aongee kingereza ili aeleweke tu. Ni ujinga kuzani au kutaka kufanana na mwingereza au mmarekani. Hata mzungu asingemcheka ilimradi kamuelewa
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hawa wote hawalipi KODI hapa Tanzania

    Mafundi simu, saa, nyumba, pikipiki,nk. Mama wauza matunda, mboga, na kila mwenye biashara yoyote. Na waliopanga kwenye ardhi za uma bila kulipia kama mabarabarani nk. Kila mtu alipaswa kulipa kodi kwa kila faida anayopata.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa hivi sasa tuna waalimu wa kutosha, ni muda muafaka shule zote za serikali za chekechea na msingi kuwa English medium

    TAIFA LA WASWAHILI. NA HATIMAYE KISWAHILI KITATUMIKA MPAKA VYUO VIKUU
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kuwaalika wabunge wa upinzani kwenye ziara za Rais ni kuwakejeli

    Huwa nawapuuza sana kwa hilo
  6. R

    JamiiForums Tanzania TCRA: Kati ya Watoa Huduma Mtandaoni 86 walioomba usajili, ni mmoja tu aliyekidhi vigezo

    Watamsaka kama wanavyohangaika bila mafanikio kuwapata members wa jf.
  7. R

    JamiiForums Tanzania TCRA: Kati ya Watoa Huduma Mtandaoni 86 walioomba usajili, ni mmoja tu aliyekidhi vigezo

    Yenye .tz ndiyo itanyooshwa. Wenye .com, .net itaendelea tu wanune wacheke.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ni swala la muda tu kabla watu hawajasema dada yule wa Ughaibuni aliona mbali

    Wasioelewa waeleshwe kuwa kuna hatua imepigwa
  9. R

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa Chadema Dr Mashinji yuko live Star tv akichuana na kada wa CCM mzee Bituro

    Kama ni kweli Mashinji umekubali kwenda kujibizana na watu wa level hiyo umejidharirisha. Siyo saizi yako huyo.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua magari 181 ya kusambazia dawa ya MSD

    Magari tu! Mbona ni jambo la kijinga unalotuletea?! Yaani watu tuache kazi tukaangalie magari.! Mshauri atubu badala ya kutuletea upuuzi.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mungu ametupa zawadi leo kwa Mbunge Tundu Lissu kusimama kwa mara ya kwanza kwa msaada wa Physiotherapist

    Asante sana. Kila la kheri Wakili Tundu Lisu.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je Dr. Shika atakua ameingizwa mkenge staili ya wa Nigeria?

    We mkuu sijui tatizo lako nini?! Mi nimekuomba useme kama umeelewa! Usiogope unapoeleweshwa. Elimu haina mwisho!
Back
Top Bottom