Katibu mkuu wa Chadema Dr Mashinji yuko live Star tv akichuana na kada wa CCM mzee Bituro

Chama tawala kwenye uchumi wamechemka wajadili mambo mengine maana kada wa fisiem atakuja kuumbuka nnchi inaemea mipila wao woko font peji kwa kiki A kipumbavu
 
Star TV ni tawi la CCM mkuu kwahyo and usitegemee kusikia jipya maana hata host wa kipindi anajua kuwa kuna maelekezo toka juu jinsi ya kuuliza maswali na kumpa uwanja huru Dr Mashinji.
 
mashinji;tatizo serikali haitambui ukubwa wa vyama upinzani mfano chama changu kina mawaziri wakuu wastaafu.
 
Mashinji; Tunaomba serikali itusikilize nasehemu pekee yakutusikiliza ni bunge napia na mikutano ya siasa.kwnye mikutano ya sehemu kuna mambo meng yanaibuliwa.
 
MASHINJI;mtawala akipata dola cha kwanza anaimarisha nguvu zake kwakuzofisha wapinzani wake syo nje tu hadi ndani ya chama chake anahakikisha anawamaliza wapinzani wake nakuna watu tayari wanalalamika hali ni mbaya ndani ya chama.hyo ndyo tabia zawatawala
 
bituro;km serikali ya magufuli km itasema leo chadema mshike nch muendeshe nchi mtaweza?je mna resource za kutosha kuendesha nchi.
 
MASHINJI;kuna police aliniambia nyie chadema mkishika nchi mtawafukuza police wote.nilimshangaa sna.BITURO;ndyo mana mnawaita policeccm
 
Back
Top Bottom