Recent content by RE4ER

  1. RE4ER

    Uuzaji wa viatu vya mitumba

    mkuu hyo biashara ni nzuri lakin inahitaji kujua aina ya raba nzuri na kw mm ninavojua ili uweze kupata faida kubwa kubwa ni bora kuanza na kiasi kikubwa ambacho unaweza kupata hata pair 50 nzuri za raba
  2. RE4ER

    Natafuta tenda ya ku-supply mayai Dar es Salaam

    Mkuu ww upo dar sehemu gani? na kama mtu akihitaji tray 50 bei inakuwaje?
  3. RE4ER

    Msaada kwa anayejua

    Samahani wana JF kuna kazi imetangazwa na NBC ya LEADING GENERATOR mwenye uelewa kidogo na hii kazi naomba anieleweshe wandugu
  4. RE4ER

    Ushauri wa kisheria:nimeenda kuripoti wamenikataa wamenirudisha psrs

    y mkuu? tufafanulie in brief jamaa yetu
  5. RE4ER

    Ushauri wa kisheria:nimeenda kuripoti wamenikataa wamenirudisha psrs

    Ebhana komaa nao mtafute mwanasheria coz kama evidence unazo na ushapoteza muda mwingi kujiandaa kwa interviews zao so usilaze damu hapo itafute haki aiseee
  6. RE4ER

    I am looking for job as Personal Secretary or Administrator

    Believe in GOD every thing is possible .. WISH U LUCKY
  7. RE4ER

    INTERNSHIP za chuo kikuu na AJIRA

    yaah kuna baadhi ya sehemu wanakubali
  8. RE4ER

    INTERNSHIP za chuo kikuu na AJIRA

    kusema ukweli uwezekano wa kupata ajira hususani kwa wanaofanya internship kwenye makampuni ya kiserikali ni mdogo sanaa na mpaka sasa hatujui tatizo lipo wap?
Back
Top Bottom