Naomba msaada wa kupata mawasiliano na connection ya kupata bidhaa za kuuza vya stationary
Naomba hili kwakuwa nipo kwenye mpango wa kufungua Stationary
Natanguliza Shukrani
Habariwanafamilia Naomba Msaada wa Timu tani Ambazo ndio kwenye league zao ndio zinaanza na zinaonesha kuweza kushinda mechi tatu za mwanzo kwa kila league naomba timu 2 kama unawezo nayo twende sawa ndugu
Naomba msaada wako, nina tatizo kwenye account yangu ya Facebook.
Kuna mtu inaonesha kabadili Password Email pamoja na namba za Simu, naomba msaada wa kuirudisha.
Natanguliza Shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.