Nchi ikitaka kudhibiti ujambazi kwa dhati inalazimu itikadi ziwekwe kando! Jambazi anatafuata mali kwa dhuluma na hata kumwagga damu na haulizi unatoka chama gani kabla ya kuiba! Shime wananchi tuwaanike majambazi wanamaliza mali zetu na kuhatarisha maisha ya raia wema!
Yawezekana kabisa roho yako imeziba siyo kwa sababu anakuomba hela bali kwa sababu umetathmini hutapata hela toka kwake ...vile amejionyesha hana. Hampendani kwa dhati!!!! Mapenzi ya moyoni hayahitaji vitu vya nje vinavyonyauka haraka. Pia yawezekana hamna lengo maalum ktk mahusiano yenu...
Anakujaribu tu!!! Mbona story yako haionyeshi kama ulishampa hela? Mara zote unajibu huna!!! Mapenzi sawa ni kushirikiana na kutunziana siri jambo kwako tayari ni dosari.....hufai pia.
Kiongozi asiyekemea maovu ni hatari zaidi ya ukoma!!!!! Rais asiyekerwa shida na taabu za wananchi wake huku akijinadi kwa majirani ni sawa na MC ktk send off----bora liende!!!! Anatakiwa mtu jasiri wa kutuliza bori na kuchambua pumba. Mbona tena 2015 ni mbali sana kwa hali hii????????
Ktk sakata kama hilo ukweli utajulikana na upo ila utafichwa kama mambo mengine ya kitaifa yanavyofanywa! Watatoa kafara mmoja apelekwe mahakamani ili waendeleze kufunga midomo ya watu kwa style ileile ya ....jambo lipo mahakamani... wakati umafia kama huo hautafutiwi dawa ya chanzo chake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.