Recent content by Rchesse

  1. Rchesse

    Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

    Cha ajabu utakuta huyu jamaa anaangalia porn vizuri tu. 😂😂😂😂
  2. Rchesse

    Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

    jaribu kuzuia vpn tuone. hahahahahahahah
  3. Rchesse

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Utasubiri sana. Kuna gari imesajiliwa January 1 2021 ni DV. Sasa piga hesabu sahivi ndio ipo DW, DZ itafika lini?.
  4. Rchesse

    Ipi nzuri kati ya Kluger na Forester?

    Huyu nahisi anazungumzia old model kile kiti kimezama unakua unadumbukia kama boat.
  5. Rchesse

    Natafuta Professional IT

    🤣🤣.umenichekesha kweli mkuu.
  6. Rchesse

    Natafuta Professional IT

    Description ya kazi unatoa juu juu tu. Weka maelezo yote. Kazi ni ya networking? Na kama ni networking mtu anakua anafanya kazi gani?. Maana networking ni pana.
  7. Rchesse

    Nijifunze php au node js na express?

    JS nilishaanza sema nahisi bado sijaiva.
  8. Rchesse

    Nijifunze php au node js na express?

    Sawa mkuu, nitasoma moja nikimaliza nasoma na nyjngine.
  9. Rchesse

    Nijifunze php au node js na express?

    Asante sana kwa ushauri.
  10. Rchesse

    Nijifunze php au node js na express?

    Asante sana mkuu, ngoja nichague moja wapo kwa sasa kazi iendelee. 💪
  11. Rchesse

    Nijifunze php au node js na express?

    Mimi ni mwanafunzi diploma in computer science. Nimeangalia google, kwa nchi nyingine php ni kama ya kizamani kidogo na wengi hawa recommend. Lakini kuna mtu kaniambia tanzania website nyingi bado zinatumia. Je, hili ni kweli?, Kwasababu naogopa nisije soma kitu ambacho kwenye mazingira yangu...
  12. Rchesse

    Naomba kujuzwa frequency mpya za Azam Tv

    King'amuzi changu kina Eutelsat 7B frequency, baada ya kuformat. Nasikia wamehamia Eutelsat sat 7C. Kwahiyo nikisearch channel zinazokuja ni Bloomberg, Universal Tv na Imaan Tv. Kwahiyo naomba anaejua frequency zao mpya anijuze.
Back
Top Bottom