Anahitajika kijana wa kazi ya Lodge, mwenye umri usiozidi miaka 25, awe anajua kusoma na kuandika na pia mchapa kazi.
Majukumu atakayo wajibika nayo katika utendaji wa kazi yake ni Usafi wa vyumba na mazingira ya nje na pia upokeaji wa wageni na kuwaregister ktk daftari la wageni,. Pia ufuaji wa...
Hapana nilikuwa namaana ya kwamba hayo ndiyo majukumu mtu atakayo fanya pindi ameajiriwa kwa maana biashara kwa siku hizi haipo Juu kwa mfumo huo kuajiri kila mtu na kitengo husika
Mako's Lodge iliyopo maeneo ya Airport Karakata( DSM) inauhitataji Wa vijana Wa kazi za uhudumu Wa Lodge. Elimu ya mwombaji isiwe Chini ya kidato cha nne. Kazi za Lodge ni kama zifuatazo;
-Usafi in general nnje na Ndani ya Lodge
-Ufuaji Mashuka na taulo za wateja pamoja na kuzipanga sehemu...
Makos General Enterprises inauhitaji wa muhudumu wa Lodge, lodge ipo maeneo ya airport karakata. Vigezo ni awe na uwezo wa kusoma na kuandika, msafi kiujumla, mwenye lugha nzuri kwa wateja na pia mchapa kazi. Kwa mawasiliano zaidi piga namba
0756 452 556
Makos General Enterprises ilikuwa inahitaji muhudumu wa Lodge kwa vigezo vifuatavyo.
>Awe Ana elimu atleast Form4 na zaidi
>Umri usiozidi miaka 26
>Msafi
>mwenye lugha nzuri na wateja
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0692778072
Tunahitaji wahudumu wa lodge bila kujali jinsia, umri usiozidi miaka 26, awe msafi, mwenye lugha nzuri kwa wateja, mwenye kujua kusoma na kuandika. Lodge ipo maeneo ya airport (karakata). Kwa mawasiliano zaidi tumia namba; 0692778072
Vijana Wa Kazi za Lodge wanatafutwa bila kujali jinsia. Lodges zipo bagamoyo na dar Es Salaam maeneo ya airport. Vigezo ni awe na uwezo wa kusoma na kuandika, msafi kiujumla, mwenye lugha nzuri kwa wateja na pia mchapa kazi.
Kwa maelezo zaidi piga no:0692778072
Tunahitaji kijana wa Kazi za lodge ,vigezo ni awe anajua kusoma na kuandika ,na ni asiwe na umri uliozidi miaka 23,pia msafi kwa ujumla .Lodge ipo airport karakata na bagamoyo. Kwa mawasiliano zaidi piga no,ifuatayo 0623725742
Anahitajika kijana wa kazi za lodge,mwenye umri usiozidi miaka 24 na awe anajua kusoma na kuandika. Lodge ipo bagamoyo,Kwa mawasiliano zaidi
Makos Manager: 0692778072
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.