Recent content by RAYHAN

  1. RAYHAN

    JamiiForums Tanzania mimba kuharibika

    asante
  2. RAYHAN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harusi ilipangwa Tarehe 29 Mwezi Huu, Demu Kapata Mchumba Mwingine

    aachane nae tu kwasababu imedhihirika wazi yeye yupo kima slahi pole sana ndugu yetu asijali atulie ajipange upya safari bado ipo
  3. RAYHAN

    JamiiForums Tanzania mimba kuharibika

    halooo.. wapendwa naomba msaada wa kujua hili,ni9na shemeji yangu ambae alikuwa na ujauzito,na baada ya kufikisha miezi miwili ujauzito ule ume haribika tatizo hili lina sababishwa na nini? msaada wenu wana jamii.
  4. RAYHAN

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo yangu ya leo jamani

    mtumbwi
  5. RAYHAN

    JamiiForums Tanzania Kufuli Stendi ya Daladala Ubungo

    duh kweli hii ni soo
  6. RAYHAN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ndoa

    wapendwa na ishi ktk mahusiano ya kinyumba na mwenzangu zaidi ya miaka saba,lakini kila nitakapo mwambia tuoane hataki na mpaka sasa anaendelea kusimama katika msimamo wake huo huo,(malengo yangu nikutimiza sheria za dini ili tuishi kwa amani zaidi).mnani shauri nini jamani?
  7. RAYHAN

    JamiiForums Tanzania mirathi

    wapendwa hivi ikiwa mtu ame zaliwa nje ya ndoa katika sheria za dini anatambulika kama sio mtoto halali,na mtoto huyohuyo akafanyiwa mpango wa vyeti vya kuzaliwa ikaonekana amezaliwa ndani ya ndoa ya familia fulani je? mtoto huyu anaweza kupewa mirathi ya wazazi wake? endapo wamefariki?
  8. RAYHAN

    JamiiForums Tanzania lips shine

    jamaa mmoja alikuwa na wivu sana na mkewe kila sehemu atakayo pita anasikia watu wakimzungumzia,siku moja akanunua lipshine na kuimimina yote iliyo kuwepo na kuweka super glue ndani ya ile chupa na kwenda kuiweka sehemu anayo tumia mkewe,muda wa kujilemba mkewe ulipo fika akamaliza kilakitu...
  9. RAYHAN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

    ngumu kumetha eh...lol
  10. RAYHAN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

    NN bado mdogo wewe
  11. RAYHAN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

    dah, watu mko deep eh?
  12. RAYHAN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

    uswazi balaa
  13. RAYHAN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

    naunga mkono hoja
  14. RAYHAN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

    weka picha pia
  15. RAYHAN

    JamiiForums Tanzania Kizazaa Baada ya Jamaa Kukatiza na Kanzu Karibu na Kanisa Leo

    ngoja waje wenyewe humu mm nakimbia fasta
Back
Top Bottom