Recent content by ravinder

  1. ravinder

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Trump n leading
  2. ravinder

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuahirisha mwaka baada ya kukosa mkopo japo niko first priority

    Pole sana kwa changamoto hio kuahirisha mwaka ni lazima uripoti na usajiliwe ndipo uweze kuandika barua ya kupospond mwaka kwa sababu kuu moja au mbili bila barua mwisho wa siku watakuambia umedisco na pili TCU hawatokpanga chuo kwani dada ztaoneka umedahiliwa mwaka mmoja nyuma...ila ukisema...
  3. ravinder

    JamiiForums Tanzania Usajili UDOM 1st year ni kero kubwa

    Itakuwa Coventry
  4. ravinder

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo huu si uungwana

    Nmekusoma ile mbaya maana jero tu unatoka na mpunga wa maana
  5. ravinder

    JamiiForums Tanzania Hii ndio janja ya heslb au?

    Kweli hajaelewa mada n nn iliozungumzwa
  6. ravinder

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa UDOM waje niwape fununu za chuo chetu

    Ndio kwa hata rafiki angu alipangiwa BAGE but alichange na kuchukua BEDA mwaka jana pia mwingine alihamia Bed sped from beda tena huyo ndo hakuchukua hata siku 2 coz wao ndo walopendekeza abadili kutokana na uwezo wake wa sign language aloonesha ck ya orientation
  7. ravinder

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa UDOM waje niwape fununu za chuo chetu

    Kwa cku za nyuma kwa ufahamu wangu walikuwa wanakaa 2 esp bloc s coed na nazngmzia by 2013 coz nliwahi kuishi hilo bloc nkiwa nauza duka lilopo hapo bloc s mpaka sasa
  8. ravinder

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa UDOM waje niwape fununu za chuo chetu

    Karibuni sana colleges zote za udom ila nawasihi mje kwa malengo yaliyowaleta natambua kuna changamoto nyingi ila msijali mtazoea
  9. ravinder

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Ile form pale bodi ya mikopo ni kwa ajili ya nini?

    Ni appealing za waliokosa
  10. ravinder

    JamiiForums Tanzania Hii ndio janja ya heslb au?

    Tusaidiane plz wakuu hili ni janga jipya
  11. ravinder

    JamiiForums Tanzania Usajili UDOM 1st year ni kero kubwa

    Utaelewa tu
  12. ravinder

    JamiiForums Tanzania Nataka kujaza dodoso ila naambiwa hivi...

    Hizi form za appealing za waliokosa mikopo bila shaka
  13. ravinder

    JamiiForums Tanzania Nataka kujaza dodoso ila naambiwa hivi...

    Mm pia hapa cjui hata hio password ndo nn
  14. ravinder

    JamiiForums Tanzania Hii ndio janja ya heslb au?

    watu wengi nikiwemo mm nlijaribu ku login kwenye account yangu ili kuona kujaza hilo dodoso lakini cha ajabu naambiwa niingize neno lilopo below lakin cjafanikiwa kwa maana inagoma login ..sasa nauliza hivi kama itagoma kufunguka mpaka muda ukaisha c ndio hauna chako? au huu ni mpango mahususi...
Back
Top Bottom