Una hakika anasuasua kwa uzembe wake? Unajua mpaka sasa amepewa fedha kiasi gani? Ukiwa na majibu sahihi ya swali la pili anza kumlaumu mmoja wapo kati ya mtoa fedha au mkandarasi.
Nadhani Waziri ana nia njema ya kuanzisha Kilimo biashara block farming kwa baadhi ya mazao kama Katani inafanya vizuri kutokana na soko la uhakika.Moja ya component za BBT ni pamoja na marketing ya mazao kwa hiyo nasema kazi iendelee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.