Usiruke post yangu imeuliza haya:
"Hujajibu swali, andiko lako limefanikisha nini hasa? Ulikuwa unalenga kupata nini hasa? Je, majibu haya ya wachangiaji ambayo kwa kiasi kikubwa ni hasi ndiyo ulikuwa umepania kuyapata juu ya mhusika mkuu wa andiko lako Spika Tulia?"
Jibu bwana Mwashambwa!
Hatukimbii mijadala JF kwa kusema fanya wewe au andika wewe. Tunabishana kwa hoja, leta jibu kinzani lenye maana bwana Mwashambwa.
Hujajibu swali, andiko lako limefanikisha nini hasa? Ulikuwa unalenga kupata nini hasa? Je, majibu haya ya wachangiaji ambayo kwa kiasi kikubwa ni hasi ndiyo...
Kama yalishafanyika hili andiko lina haja gani gani? Tunarudi kulekule umuhimu wa mawasiliano na mahusiano na umma ya kimakakati.
Mother's Day ni May 12 jumapili hii, andiko hili kama lingekuwa kupelekea siku ya kina mama duniani lingekuwa na tija na maana sana. Tulia na mama yake wanapata...
Mjifunze uandishi na mawasiliano ya kimkakati! Hata kama ni propaganda jifunzeni toka kwa Wachina basi au hata Rwanda tu hapo.
Makala ambazo ungeweza kuandika hapa:
Toka familia umasikini mpaka kuongoza bunge
Safari ya Tulia kupelekea IPU
Mila na tamaduni za Kinyakyusa katika karne ya ishirini...
Fursa zipo nyingi ila binafsi ninashauri kama utaosoma econ and stat focus zaidi kwenye data science and analytics ulimwengu unaelekea huko. Apply knowledge yako ya hayo masomo mawili huko.
Kama utasoma hii course add value on yourself nenda Udemy pita pia YouTube learn Data Analytics using...
Well, kazi sio rahisi kupata kwa taaluma nyingi sasa hivi. Graduates wengi wanahangaika mtaani.
Piga shule lakini jiongezee value. Mimi ningeshauri ukimaliza degree enroll ufanye mitihani ya Chartered Insurance Institute - CII. This qualification itakuongezea mileage sana. Mitihani hii ni...
Kujitangaza na uwezo wa kufanya maamuzi ni vitu tofauti. Devolution bado ni work im progress kwetu.
Mfano, tunaweza decentralise baadhi ya vitu katika mchakato mzima wa kuwekeza. Kuwekeza ni zaidi ya matangazo.
Devolution "ugatuzi" na federalism "shirikisho" ni vitu tofauti. Tanzania sio shirikisho. Hatuna sababu ya kuwa shirikisho.
Devolution ilishaanza kutekelezwa nchini. Kwenye elimu na afya baadhi ya maamuzi yanafanyika katika halmashauri. Tatizo kubwa ni sera na kasi ya kuzipa serikali za mitaa...
Obviously, maendeleo hayawezi kuwa sawa. Ila hoja ya kukosa viongozi hapana. Nchi hii ina wasomi wengi tu. Kugatua madaraka hakumaanishi kuwa nafasi za uongozi na watendaji zitakuwa kwa kabila au watu waliozaliwa eneo hilo tu! Nafasi za hawa matechnocrats kwenye kada mbalimbali zitatangazwa na...
Stereotypes tu hizi kaka. Mtu muhuni ni muhinu. Kwani Tanzania hakuna wanaolea watoto wasio wao? Kama ni cheating baadhi ya wanawake wa Tanzania wanafanya pia.
Ndio, maendeleo yatazidi. Changamoto kubwa katika kulifanikisha hili ni serikali kuu kuhodhi madaraka. Hili litawezekana tukigatua madaraka kwenda mikoani na wilayani.
Hivi sasa nafasi ya serikali za wilaya na mikoa kwenye uwekezaji ni ndogo. Turudishe maamuzi mashinani. Serikali za Mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.