Natanguliza shukrani,,husika na mada tajwa hapo juu nahitaji simu ya tecno CX kwa tsh 200,000
Iwe nzuri isiwe imechoka sana napatikana kigamboni bridge (daraja la nyerere)
Call 0688811110
Wanajamvi husika na habari tajwa hapo juu Mimi NATAFUTA Frem kwa ajili ya saloon kwenye sehemu zilizochangamka au zenye watu wengi,pawepo na movement kubwa ya watu maeneo ya UHASIBU DAR NA KIGAMBONI
kwa mawasiliano zaidi
0688811110
Siku zote fisadi akibanwa huwa wanaandika Uzi kama huu mbona sisi tunaishi vizuri sana tena kuna usawa kwa watu wote ,haki kwa watu wote,ila fisadi akikosa pakutokea wanaandika Uzi kama huu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.