Mijitu ya ccm imekufa ganzikwa speach ya ngwigi wa sheria na haki jaji warioba. Hawawezi kujigusa kwa shoka walilopigwa na warioba leo. Sasa wapo chaliiiiii.....
Wana nchi wapi tena kama co cc hapa? cc huku mtaani tumeshangilia sana ukawa kutoka bungeni kwani kile ni kitendo cha busara. Ukiwa ndani na familia yako ukaona baba au mama amejaa hasira anatukana tuu haongei point kisaikologia inashauiwa ni heri utoke hata nje ili kuepuka huo upuuzi wake...
Wakatolic ni ma empire makubwa. Mambo ya ujasus wanayajua sana. Hiyo ndo sera yao. Mm ni mkristu nawajua sana. Hilo linalosemwa lipo ndo mana wenzetu waisilamu kila ckuhulia na mfumo kristo. Na hii itakuwa ivo daima. Mfumo kristo ndo upodunian nw so ni kweli lisemwalo.
Nyere hakuwa malaika wala mungu asikosee. Acheni kusujudia bila kuhoji uhalali wako wa kusujudia. Wanasayansi wanapatikana kutokana na waliotangulia hivyo hukosolewa sana kwa hoja hadi kupata nani zaidi tena haijalishi yupo hai au laa. Kuweni makini hakuna anayenyimwa kumkosoa nyere kwa kujenga hoja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.