Recent content by rashd

  1. R

    JamiiForums Tanzania Pentagon: Wanajeshi wengine zaidi wa Marekani wasafirishwa nje ya Iraq ili kutibiwa baada ya shambulizi la Iran huko Iraq

    Mapenzi ya dhati Sent using Jamii Forums mobile app
  2. R

    JamiiForums Tanzania Libya ya Gadaffi vs Libya ya Wamarekani

    Evidences unazo za kulithibisha hilo??
  3. R

    JamiiForums Tanzania India yafanya jaribio la usiku la kombora la Agni II lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia

    Kwa USA hujawahi kucomment hivo..
  4. R

    JamiiForums Tanzania Je, Urusi iko Ulaya au Asia? Na Warusi ni Wazungu au ni Waarabu?

    Mzee kwa misifa ni balaa wewe
  5. R

    JamiiForums Tanzania Trump ajutia uamuzi wa kutokuipiga China na vikwazo vya kutosha

    Binadamu aliyebarikiwa mitizamo hasi....imagine we ndo ungekuwa na mamlaka ungefanya nn
  6. R

    JamiiForums Tanzania Pre university students

    Naomba tunaoanza chuu kikuu mwaka huu tujuane mapema ndugu zangu• me tayari nishaconfirm udom. Comment namba yako tuwasiliabe ntakuunga kwenye group maalumu kwajili yetu.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ununuzi wa Greenland: Trump avunja safari ya kuelekea Denmark

    Mapenzi yaliyopitiliza kwa mmarekani..
  8. R

    JamiiForums Tanzania Uwanja mpya wa Ndege wa Beijing China hatari tupu

    Ukijifanya mjuaji sana mwisho wake ni aibu. Wap Kuna km apo
  9. R

    JamiiForums Tanzania Huyu kijana hakuwaacha wazazi wake ambao ni vikongwe nyuma

    Msaada wa kiakili unahitaji sana mkuu.....umeshikilia dini ambayo hata chanzo chake hujui
  10. R

    JamiiForums Tanzania Watu 10 wauawa katika shambulio la bomu la kujitoa muhanga

    Ila we jamaa unahitaji counseling ya kutosha aseee
  11. R

    JamiiForums Tanzania Uturuki: Tumejiandaa kukabiliana na vikwazo tarajiwa vya Marekani

    Duh Marekani ni taifa la ajabu sana katika dunia hii...hawatak wenzao waendeshe maisha yao wanavyotaka
Back
Top Bottom