Recent content by Ras El-huruma Mariki

  1. R

    JamiiForums Msichana ni mzuri lakini haeleweki

    Kuna msichana ambaye ni Jirani yangu sana na kusema kweli ni mzuri sana. Nilipataga hofu ya kumtongoza kwa sababu ya uzuri wake na ni gate kali. Ila kila alipokuwa anapata upenyo anakuja getto kwangu tunacheki movies na kula kwangu. Siku moja nikajisemea moyoni kuwa Jamii na masela wangu...
  2. R

    JamiiForums Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Bara na visiwani wote ni watoto wa baba na mama mmoja,so kusema waishi sehemu moja ni ngumu,amani itatoweka baina ya ndugu coz wazazi hawakuwajengea misingi imara ya upendo na ni kwasababu ya udhaifu na uzembe wa kutokukamilisha sera. Mf. Ujamaa,udini na ukabila.(Unaccomplish mission in tripple...
Back
Top Bottom