Wapendwa wana MMU habari za siku tele nilipotelea mbali na hili jukwaa na leo nimerudi. Natumai hamjambo na nimerudi na nitashirikiana nanyi kwenye shauri mbalimabli
Dah! hadithi inatufundisha hasa sisi wanandoa. Hawa wasichana wetu nyumbani siku hizi mtu asipojiangalia ndo inakuwa kama yanamkuta Waziri Jonathan. Inabidi nikae umbali wa 1000 miles mbani na house girl wetu. Haya nasubiria kwa Mjamaica nyumbani itakuwaje.
Hadithi nzuri, ni kama kisa cha kweli maana usaliti umekidhiri. Just imajine minister's wife with a kiosk vendor. ama kweli mapenzi kizungumkuti. Ok nasubiria kilichojiri baada ya kutoka stedium
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.