Recent content by raphael mtangi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua identity ya mziki wa bongo aje

    Asili ya mziki wa Tanzania ni Mchiriku tu.....sema kwa kuwa haukuwai kupewa sana promo na wengi wao wanaouimba ni masela kwa sana,mchiriku unaonekana ni mziki wa wahuni,ila asili ya mziki wetu ni mchiriku.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Barua fupi kwa ndugu Maxence Melo huko katika kuta za magereza (sehemu 1)

    Maneno mazuri sana na yenye faraja.....Chozi la mnyonge haliendi bure...Mungu akupe nguvu Maxence
  3. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye hofu ya Mungu

    Wapo pia wanaotafute mume mwenye Hofu ya Mungu
  4. R

    JamiiForums Tanzania EATV na EA Radio wasitisha kucheza nyimbo za Wasanii wa WCB

    Hii nchi nzito sana,kila kitu kigumu na kuwekeana ugumu,sijaona tatizo hapo la kusababisha kutopigwa kwa nyimbo zao,Sisi ngozi nyeusi Nuksi sana....
  5. R

    JamiiForums Tanzania TV E inakuja kubamba,mawingu hamna chenu

    Ipo kwenye majaribio mkuu
  6. R

    JamiiForums Tanzania TV E inakuja kubamba,mawingu hamna chenu

    Kweli.Clouds Tv inaboha sana sana,vipindi vyao havina mpangilio hata kidogo.......wajipange kweli
  7. R

    JamiiForums Tanzania TV E inakuja kubamba,mawingu hamna chenu

    Bado bro ipo kwenye majaribio.....
Back
Top Bottom