Recent content by Raphael Alfayo 0506

  1. Raphael Alfayo 0506

    SoC03 Bunge langu

    Bunge Langu: Jina lake lilikuwa Dec_Rapha. Alikuwa mwanaume jasiri mwenye sauti ya ujasiri na moyo wa kujitolea. Kwa miaka mingi, alishuhudia jinsi Bunge la Daqwaan lilivyokuwa likisimamiwa na masuala ya rushwa, ubaguzi, na kutokuwepo kwa uwajibikaji. Hii ilimwumiza sana moyo na kumfanya aamini...
  2. Raphael Alfayo 0506

    Vigezo na masharti ya kushiriki katika Stories of Change 2023

    Naam, nimeelewa kwa usahihi maelekezo, wacha na mimi niingie kwenye huu mtanange, Bahati njema kwangu na wengine mtakaoshiriki.
  3. Raphael Alfayo 0506

    Kuwa tajiri kwa mtaji wa laki 3 tu kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Guys, Tanzania watu kukata tamaa na kukatisha wengine tamaa ni jambo easy sanaaa, inshu ni hii, THUBUTU, na wengi wanataka matokeo ya leo kesho katoboa huo ni uongo...ni ndoto yangu kwa hii layering poultry farm and am telling you guys, when i accomplish writing my business planning, i am going...
  4. Raphael Alfayo 0506

    What is "QMS" and its exolanation?

    Any one please who can give me a short explanation about the course called "QMS".
Back
Top Bottom