Recent content by rangirangi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Ameshajiuzulu huyo subirini muone
  2. R

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo wampokea rasmi Moses Machali Julai 21

    Atasahaulika milele.... ila yapo majembe mapya ambayo yataingia mjengoni kwa tiketi ya cdm ni shiiidah ,machali ndo nani ?
  3. R

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo wampokea rasmi Moses Machali Julai 21

    Chadema haikuanza hivi wewe ilianza kwa kujitegemea na kujijenga yenyewe co kwa kutegemea watu wa nje na wasaliti...hakuna mtu maarufu mbunge ama yeyote aliyetoka ccm au vyama vingine kwa wakati huo na kujiunga na chadema na kuipa nguvu ,acheni uongo
  4. R

    JamiiForums Tanzania Said Arfi achukua fomu ya Ubunge kupitia CCM

    Huyo zitto na huyo arfi ndo wameshakufa kisiasa
  5. R

    JamiiForums Tanzania Pombe Magufuli azoa wanachama 882 UKAWA

    Uzushi tu huo ,wale walibeba kadi feki
  6. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Mwanasiasa asiyekubalika na makundi mengi; yeye kaamua kuyanunua kwa nguvu

    Wanajamvi huyu mtu mwenye uchu wa madaraka alieanza kuutafuta uraisi muda mrefu kwa kugawa misaada makanisani na misikitini na kwa makundi mbalimbali eti anawawezesha vijana kimitaji ,je tumejiuliza uwezo huo wa kifedha unatoka wapi ?kwani lowassa ni taasisi ? Kwanini na hata kama ni billionaire...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Zitto kufuatia vurugu za kwenye Mikutano

    Nafikiri ndg yangu magamba wamekuharibu kbs ,kwa swala kama la south Africa co jambo la siri kwamba serikali isitoe tamko kulinda na kutetea raia wake kwakua habari hii ni habari ya dunia kwa sasa,anyway kubishana na magamba ni kupoteza muda tu maana hiyo sumu mliolishwa hadi mmekua vipofu mambo...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Zitto kufuatia vurugu za kwenye Mikutano

    Huna akili wewe ,serikari yoyote duniani ina wajibu wa kutoa habari kwa raia wake...ndo maana nimekuambia umerogwa wewe na wajinga wenzako magamba,kama hujui kitu uwe unanyamaza mjinga we
  9. R

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Zitto kufuatia vurugu za kwenye Mikutano

    Wewe ni mjinga wa mwiSho....usiye na fikra ,umeng'ang'ana na ccm huna dira wala mwelekeo usiejali haki za raia wako kama hiyo mi ccm yako iliyokuroga
  10. R

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Zitto kufuatia vurugu za kwenye Mikutano

    Watu wanaomfuata na kumsikiliza msaliti siwaelewi upeo wa kufikiri kwao ,hivi hamuoni hata kwa akili ya kawaida tu zitto sio mpinzani kwani chama chake kinapambana na upinzani ili kugawanya kura za wanaoikataa ccm ,huku kura za ma ccm zikibaki pale pale ,angekua mpinzani kweli angeenda kuomba...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mtungirehi na Batinoluho wachanja mbunga Kyerwa

    Ni ShEedah..cdm pOwer
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wanawake wengi hawapendi kuangalia na wanachukia porn?

    Wanapenda kuangalia lkn mara nyingi hupenda kuangalia peke yao awe mwenyewe au awe na mwenzake rfk ake wa karibu ,anaependa kuangali akiwa na wanaume au hadharani huyo ni muhuni au malaya na hata akiangalia wengi huwa wanaona aibu sana kwani kuna udhalilishaji mkubwa unaofanywa kwa mwanamke ktk...
  13. R

    JamiiForums Tanzania OFFICIAL: Prof Jay kugombea Ubunge jimbo la Mikumi kupitia chama cha CHADEMA

    Ametangaza hivyo na huwa ni kada wa cdm kitambo tu
  14. R

    JamiiForums Tanzania OFFICIAL: Prof Jay kugombea Ubunge jimbo la Mikumi kupitia chama cha CHADEMA

    Songa mbele kamanda cdm inahitaji vjn km ww
  15. R

    JamiiForums Tanzania OFFICIAL: Prof Jay kugombea Ubunge jimbo la Mikumi kupitia chama cha CHADEMA

    SaAfi NamSapOti kwA hali ZootE
Back
Top Bottom