Walipanda mashamba katikati ya jangwa, lakini chemchemi ikazibwa kwa mawe ya mamlaka.
Barabara yao ya mbele ilijaa mashimo yaliyotengenezwa kwa makusudi, nyuma yao daraja lilivunjwa kabla hawajavuka.
Maghala yao ya chakula yalitiwa lakiri ya giza, na mlinzi wa lango akapokea funguo kutoka kwa...
1/ Nchi fulani, mvua inanyesha kwenye paa lililovuja, lakini mwenye nyumba anajisifu kununua mwamvuli mpya kwa marafiki zake.
2/ Wamepanda miti mingi ya kivuli katikati ya jangwa, lakini wamesahau chanzo cha maji kiko mbali sana na wenye kiu.
3/ Wameleta farasi na punda wa miguu minne kwa kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.