Wahindi waliotoka Uganda Kenya na Tanzania kila siku nakutana nao kama waswahili wenzangu hapa Uingereza. Wamewekeza India na wanapoenda hawana shida hata moja na mali zao serekali inawalinda. Unafaham hata Rishi Sunak ananyumba India na serekali inamlinda kama Muingereza mwenye asili ya India...
Utaelewa ni namna gani utawala unaogopwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nahisi wengi mno ni sababu ya hofu ya kufuatiliwa na uhuru wa kutowa dukuduku.
Kwa kifupi ni sababu za kisiasa.
Poleni sana.
Mimi nilikuwa na tatizo hilo hilo, nikaambiwa sababu natumiya app. Sijuwi enzi hizi nani anataka arudi kwenye www.[emoji2379] ila kwa leo safi kabisa. Picha zote zafunguka ila sijuwi kilichotokeya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.