Acha kazi nenda kalime au acha Kaz ingia mtaan uone pesa ilivyongumu walimu mmezid kulalamika Kwan sector zingine mbona kimya km makaran na watendaj wa chin wa serikali kaa kimya
Asiende mipango huyo dogo atapoteza muda asome hata account procurement and supply au business administration kwasababu coz za mipango hazina tija wala fursa za ajira kwny ulimwengu wa sasa
Tatizo mm mpaka xahiv sipata transcript yang 'na matokeo Tayar yametoka lakin nimeshoamba transcript kutoka chuo wakaniambia mpaka ijumaa napo hamna kuchukuliana 'na mm nipo mbal na niliposoma
Asalaam aleykum
Bwana yesu asifiwe
Mtu kama unafanya application kupitia nacte kujiunga na degree nilazima uscan transcript au unaweka number yako ya usajil chuo na mtihan basi bila kuscan transcript maana kuna watu wanadai kua ni number tu bas
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.