Recent content by ramses2

  1. ramses2

    Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?

    ZILLAHENDER MPEMA, Nime kuelewa mkuu. Asiye kuelewa basi atakuwa ana matatizo makubwa ya ki saikolojiya. Hivi kwa nini huyu bwana hakujiuzulu kama haku yahafiki yaliyo kuwa yakitendeka? Mbona tunaona wenye kujiuzulu wasio hafikiana na fikra zake? Ka nini yeye hakufanya hivo? Mbona hajasema...
  2. ramses2

    Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    he must have meant "If I was IGP" Being a president, you can't wish to be an IGP. it doesn't make sense Mr. Dr. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. ramses2

    Acacia yajiandaa kudondosha dodo,WaTz wajiandae kunawa mikono

    kuna mahakama ya kimataifa ya wawekezaji. ni chombo ambacho sasa hivi ndo kinapeleka jahazi la ukoloni. -Tanzania ni mwanacha. -Hakuna siku nchi zinazoendelea zimewahi kushinda kesi zidi ya ma kampuni makubwa. -Wajanja walianza kutoka kwanza kwenye umoja huo kabla ya kuwabana mabepari. -Ukiwa...
  4. ramses2

    Askari Polisi wa Usalama Barabarani hamuwezi kufanikiwa kwa kuwadhulumu wananchi

    Hii hali niliiongeya mapema mno. usalama barabarani sawa na TRA wanapewa target. unapopewa target hasa askari lazima utekeleze. Na ukisha mpa mtumishi wa uma target manaake unauponza uma. Kawaida yao kwanza ni rushwa. Usalama barabarani, niligombana nao sana manaake mimi najuwa haki yangu...
  5. ramses2

    Makonda mnamchukulia poa, msikilize hapa akiongea kiingereza safi kabisa

    How come a so called Uni graduate can say that?
  6. ramses2

    Picha: Mwili wa Mtanzania aliyesukumwa toka gorofani umewasili

    Baba yake Bashite ataandika barua kwa lugha gani? Hata hivo atamtukana marehemu bure. Manaake kwa fikra zake finyu, kuishi au kufanya kazi nnje ya nchi ni ukosefu wa uzalendo. Wakati hajira kashindwa kuongeza hata moja, anachokijuwa hasa ni kupunguza hata zilizo kuwepo. Poleni sana wafiwa...
  7. ramses2

    Usahihi wa Rais Magufuli upo wapi? Nimeshindwa kueleweka, lakini nitaeleweka tu!

    Wewe nyani kweli kweli. Nchi inaongozwa ki sheria. Ka kamatwa kwa kosa lipi na ka achiwa kwa sababu gani? Wananchi wenye akili tofauti na nyani tunataka tujuwe. Ili baadae kwa kesi au matukio ya namna hii tuwe na reference. Na hilo lapatikana mahakamani nyani wee. Halaumiwi mtu, just tupeni sababu.
  8. ramses2

    Ripoti ya kitaalamu kuhusu uchenjuaji wa mchanga wa madini

    Swali ni busara ku wasimamisha alafu kuongelea utafiti baadae au fanya utafiti wako huku wakiendelea chapa kazi? Tusikosi tu kuambiwa matokeo. Manaake kila siku bandari inasafishwa lakini haiishi viroja. Inamana yanatumbuliwa ila doctor hana utaalamu wa kutumbuwa roho ya jibu. Ki bashite...
  9. ramses2

    Zitto: Amri ya Rais Magufuli kuhusu 'Mchanga wa Dhahabu' imepotezea nchi Tshs 1.8 Trilioni Capital Gains Tax

    Nakuelewa sana mkuu. Wote nia yetu ni kujenga au kwa kifupi mafanikio ya mtanzania. Tatizo la international majipu kama hayo kesi yake haiishii hapa. Inaenda kwenye international courts na kule hatuja wahi shinda hata kesi moja. Gharama baada ya kutumbuwa hatuja wahi ambiwa hata siku moja...
  10. ramses2

    Zitto: Amri ya Rais Magufuli kuhusu 'Mchanga wa Dhahabu' imepotezea nchi Tshs 1.8 Trilioni Capital Gains Tax

    Nawashangaeni sana ndugu zangu. Wale mabwana wali saini mkataba na serikali. Wanalipa kodi kubwa mno. Kibusara mkataba kama huo haukatiwi bandarini pale. Kwa sababu biashara yao haikuwa na siri. Ilikuwa halali kulingana na mapatano. Sasa kama unahisi mkataba umekosewa waite wausika kama mlipo...
  11. ramses2

    Maumivu katika mwili hasa nyuma ya mabega

    Hiyo hali kwa sisi tunao ishi ulaya tunaielewa sana kupita kiasi. Ugonjwa kama ukitaka tuuite hivo ila mimi naweza pendelea kuita hali, unaitwa "stress" au hali ya stress. Huu Ugonjwa mara nyingi Africa hatuujuwi na unawafanya ma Dr. wa kienyeji kupata riziki zao kwa wingi. Mabadiliko ya mfumo...
  12. ramses2

    Hivi thamani ya nchi ya Tanzania ni shilingi ngapi?

    Tangiapo mikoa hiyo ilikuwa nchi huru kabla ya uhuru. Soma historia yako.
  13. ramses2

    AJALI: Basi la UDA laigonga treni eneo la Gerezani - Kariakoo, Dar

    Pole sana kwako na innalillahi wa inna illayhi rajiun. Tatizo lishiishiye tu kwa ma dereva kama ulivyo sema. Liende pia kwa Serekali kwa kukosa miundo mbinu. Eneo hilo la baada ya Machinga complex unaloongeleya it's a disaster in the making. it's cooking up. Mashimo kwanza ni makubwa mno pale...
  14. ramses2

    Azam TV yakanusha kukwepa kodi ya ongezeko la thamani(VAT)

    Now that you got to that point, have you thought of any solution for the problem? Since we both know what our government is doing to the business people and tax payers is not fair.
Back
Top Bottom